Tundu Lissu: Video ya hotuba ya katiba na sheria 2012/2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu: Video ya hotuba ya katiba na sheria 2012/2013

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 2015, Jul 16, 2012.

 1. 2

  2015 Senior Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau hotuba hii ilikuwa nzito sana na imeacha impact kubwa sana na mjadala mpana kwa mambo mbalimbali, please km kuna mtu ana video yote namuomba aniwekee hapa ili niwe naisikiliza kila siku.

  asanteni sana
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  umenena mkuu hata mimi naitafuta sana
   
 3. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi pia naisubiri kwa hamu sana.
   
 4. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  omba tbc au star tv. Usikilize unafiki wa mh lisu.
   
 5. makusanya

  makusanya JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  ni muhimu sana hiyo hata kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  nami nahitaji please... you tube sijaiona
   
 7. 2

  2015 Senior Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Afisa Habari wa chadema ndugu Tumain Makene km hauna utaratibu wa kutunza video za hotuba za upinzani bungeni in full tunakuomba uanze ili uweze kukata kiu zetu kwa hotuba zijazo
   
 8. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
 9. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Muhimu kuipata jamani. Mwenye nayo ashere nasi.
   
Loading...