watanganyika+wazanzibar kitu kimoja! tusigawanywe kwa sababu hizi!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Naomba Mungu wote kwa pamoja tupate uelewa wa mambo yanayojiri hapa nchini kwetu! Siku hiyo sote kwa pamoja tutakubaliana kutounga mkono hawa wanasiasa! Na sanbaba
 
Tatizo lao ni kuchoma
makanisa tu!
Hilo linawafanya kuwa tofauti na sisi wa huku bara.
Hata hii laana ya kuchoma makanisa itawatafuna wenyewe!
 
Naomba Mungu wote kwa pamoja tupate uelewa wa mambo yanayojiri hapa nchini kwetu! Siku hiyo sote kwa pamoja tutakubaliana kutounga mkono hawa wanasiasa! Na sanbaba

Kama ni kitu kimoja mbona tuna serikali mbili na sasa kuna watu wanataka serikali tatu.
 
Back
Top Bottom