Dr. Ulimboka afya yaanza kutengamaa - aanza mazoezi mepesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Ulimboka afya yaanza kutengamaa - aanza mazoezi mepesi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jul 19, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Dk. Ulimboka aanza mazoezi

  Hali ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Stephen Ulimboka, aliyepelekwa Afrika Kusini kwa matibabu inaendelea vizuri na kwa sasa anaanza kufanya mazoezi mepesi mepesi.

  Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mmoja wa familia yake aliliambia NIPASHE jana kuwa, Dk. Ulimboka ameanza kutumia vifaa vya mazoezi na kufanya mazoezi mepesi mepesi.

  Dk. Ulimboka aliyetekwa Juni 26, mwaka huu, alipigwa na kuumizwa mwili mzima, alingÂ’olewa meno pamoja na kucha na watu wasiojulikana na kutupwa katika msitu wa Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Kamanda Ahmed Msangi mwenye kufanya uchunguzi kesi ya Dr. Ulimboka. Kutajwatajwa kwake kuhusika ni kuchanganyikiwa kwa madaktari au ni kivuli chake kilichopita?
   
 3. S

  STIDE JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu umeshaharibu usingizi wangu leo!! Hilo li-picha nawezakuliota!! Sisinzii tena!!!

  Mungu amjaarie nguvu na kuzidi kumlinda Dr. Uli!!
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hata iweje kama atazuiliwa kuongea na media akirudi,ataenda kuongea nao mjini JUBA southern sudan..itafahamika tu
   
Loading...