UFISADI ardhi manispaa ya MOROGORO chini ya afisa tarafa PAKALAPAKALA MLENGE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UFISADI ardhi manispaa ya MOROGORO chini ya afisa tarafa PAKALAPAKALA MLENGE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Edson Zephania, Jul 19, 2012.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Afisa tarafa anaruhusiwa kugawa eneo la kijiji au mtaa bila kuushirikisha uongozi wa kijiji au mtaa?? Afisa tarafa manispaa ya Morogoro kwa jina la Pakalapakala Mlenge amegawa eneo la ekari 50 kwa ndugu Menrald Tesha ambae ni afisa wa Magereza, kwa mujabu wa vielelezo vilivyoletwa na Menrald Tesha alimgawia eneo hilo mwaka 2000 kinyume na majukumu yake na kinyume na sheria bila uongozi wa mtaa/ wala mawasiliano yoyote na viongozi wa kijiji/mtaa huku wakijaribu kumrubuni mmoja wa wajumbe, wenye eneo lao wameenda kulalamika ktk baraza la ardhi la kata hivyo afisa tarafa anatakiwa tarehe 26 july akajibu mashitaka ya ufisadi wake na kusababisha migogoro badala ya kua msuluhishi. Bila shaka huyu atakua kapewa rushwa na afisa huyo wa jeshi la magereza hivyo TAKUKURU wanatakiwa kumfatilia kwani hata wenyeviti wengine wa mitaa nao wamekua wakilalamika kubugudhiwa na fisadi huyu kwani amekua akichukua fedha za vigogo na kuwataka viongozi wa mitaa wawape maeneo kinyume ca sheria na taratibu. MKURUGENZI NA MKUU WA WILAYA FUATILIENI MTU HUYU ANANUKA HARUFU YA RUSHWA
   
Loading...