Spika, naibu spika, mwansheria mkuu na lukuvi: Maadui namba 1 wa taifa hil: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika, naibu spika, mwansheria mkuu na lukuvi: Maadui namba 1 wa taifa hil:

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by IDIOS, Jul 20, 2012.

 1. I

  IDIOS Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  alimkalisha chini akidai ameshaifunga hoja ile.

  HIvi kweli hawa watu wanashindwa kuona kama kuna haja ya kurusuhu hoja hii ikaweza kujadiliwa bungeni? Kwa nini wanadharau kiasi hiki katika mambo mhimu kaya haya ya majanga kama hili la ajali ya meli? Ina maaana hawa viongozi wetu hawatujali kiasi hiki wananchi wao?

  Inauma sana inapotokea viongozi wetu wakijaribu kwa hai na mali kuzuia wabunge wenzao kujadili janga hili la ajali kila kukicha watu wanakufa kila ukicha? Ina maana wao hawajaone kama kuna uzembe wa makusudi kwa wamiliki wa vyombo hivyo?

  Ni mda mwafaka sasa kwa wananchi kuona haya mambo tunayofanyiwa na viongozi wetu tuliowachagua kwa kuwaamini wa wanaweza utusaidia kaika matatizo yetu kumbe tulifanya makosa makubwa sana. Ina maana wao wanajisikia raha wanapoona wananchi wakihangaika katika mateso yasiyo ya lazima?

  Ajali kila siku iwe kwa mabasi, ndege, meli yani hakuna amani kwa watanzania. Tumekuwa kama wanyama wa kafara? leo nmeidharau sana serikali yangu.

  Rai kwa mh Rais wetu Jakaya M Kikwete kuchukua hatua za makusudi ili kunusuru imani ya wananchi wake inayozidi kuisha moyoni mwao kwa mambo ya kipuuzi kama yaha. Nadiriki kusema Rais wanakuhujumu wasaidizi wako kwa wanavyochemka wanakupotezea
  credits kwa wanachi wako kwa kuwa hata wewe huchukua hatua unapoona kuwa mambo yanaharibika.

  Nawasilisha lakini michango, maoni na kukosoa nlipokusea ni ruksa.
   
 2. Jomy

  Jomy JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  Umenena vyema
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM wameshajua kuwa kurudi bungeni 2015 ni ndoto hivyo wanachofanya sasa ni kukomoa sio haki.
   
 4. T

  TATOO Senior Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao ndio walinzi wa serikali dhaifu bungeni maana huko bungeni hakuna polisi na usalama wa ikulu dhaifu....so ndio maana hao watu watatu wanakomaa sana kwa kupitia nyadhifa zao coz mostly wametokana kwa matakwa ya mdhaifu yuleyule.............ni sawa una pesa kwenye surual yako yenye mifuko miwili ukaamua kuhamisha pesa toka mfuko wa kushoto kwenda wa kulia bado pesa itakuwa ni yako tu....!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Sema CCM wewe vipi wewe? Hao wametumwa na CCM
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  I wanna see these leaders in the same situation like this one day!
  [​IMG]
   
 7. m

  maingu z Senior Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe unafikiri hajua kama hawamuhujumu? huu ni upepo utapita tu..... MTAJUTA KUICHAGUA CCM, NA BADO KIBANO MTAKIPATA MPAKA TUKOME......
   
 8. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  na wewe una matatizo nini?? Asa apo kwenye red, mambo ya ajali ndio ya kipuuzi au kuyapuuza malalamiko ya wananchi, ndo upuuzi??
  Mmm usijekuwa nawe uliwapa kura yako leo unakuja na pwenti ya kuwacriticise, aya wadau mchango please, ngoja niwa bakuli langu la senene pale muleba kwa kasheke
   
Loading...