Hoja za Udini TUZIKATE KTK SIASA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja za Udini TUZIKATE KTK SIASA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Jul 20, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Utasikia mfumo wa kikristo au wa Kiislamu hapa na pale katika siasa za Tanzania. Ninaandika kuwakumbusha kuwa tukae mstari wa mbele kupinga hoja za kidini ktk mijadala yoyote ya kitaifa isipokuwa ktk masuala ya dini zetu makanisani na miskitini.

  Tujiulize mungu ni mmoja, dini zipo mbalimbali na nyingi. kwani mungu ni hakujua hilo hadi akaruhusu Tanzania kuwe na dini nyingi??? nani anajua kusudi la mungu??? isufikiri kwa kuwa mkristo tu au mwislamu tu wa jina ndo utafika kunako mbingu, usifikirie eti unajua kusudi la mungu tena unataka kumsahihisha kwa kuwatoa wakristo au waislamu ktk nchi ya Tanzania. Hapana. Tujifunze japo hili moja alotufundisha mwalimu- kukataa udini na ukabila kwa nguvu zote

  Natoa wito WanaJF tuwe makini na viongozi ktk kupinga dini na siasa.
   
Loading...