Jinsi ya kumtambua mtu mwenye maslai ya kidini katika siasa za Bongo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kumtambua mtu mwenye maslai ya kidini katika siasa za Bongo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibwagizo, Jul 20, 2012.

 1. Kibwagizo

  Kibwagizo Senior Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Ukimwambia serikali ya sasa ni tofauti na ya awamu ya 1,2 na 3.Atakwambia kivipi wakati Jk kachukua nchi haina shule nyingi,wahitimu shule za juu sasa large in number..Ukimwamibia katika utawala wa Nyerere palikuwepo uhadirifu kazini.ATABISHA.
  2.Ukimuuliza mwanasiasa gani msomi na mwenye uwezo wa kuitoa Tz hapa ilipo baada ya Jk.Atakwambia Lipumba,ukimuuliza sababu,utasikia Mwanauchumi bora,aliwahi kusema kila mtz anatakiwa kila mwezi kuwa analipwa takribani 4laki kila mwezi.Lakini ukiuliza kuhusu Slaa na sela ya cement 5000 atakwambia muongo.
  3.Mwanasiasa gani unamkubali Chadema? Atakwambia Zitto Zuber Kabwe.
  4.Vipi mwamuko wa watanzani katika siasa na jinsi walivyo kipokea chama cha CHADEMA? Atakwambia,tuliwahi kumwona Kaburu,Cuf na Mrema.

  Maoni yenu na jinsi ya kuwapuuza wale wenye mlengo tofauti.
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenivunja mbavu hii inawafaa wakina zomba ritz rejao mafilili ribosome Tume ya katiba na wadini wengine kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wavaa magobaz hawajaiona hii
   
 4. Kibwagizo

  Kibwagizo Senior Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ni machache.Pls hapa ni hoja.
   
 5. Kibwagizo

  Kibwagizo Senior Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye kubisha ajenge hoja.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wanakunywa kahawa subiri watakuparamia na mitusi sasa hivi
   
Loading...