Live kutoka Mtwara-Warsha kwa Kikao cha RCC & TPDC Kuhusiana na Mambo ya Gas/Oil | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live kutoka Mtwara-Warsha kwa Kikao cha RCC & TPDC Kuhusiana na Mambo ya Gas/Oil

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SINA JINA1, Jul 20, 2012.

 1. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi mkuu wa TPDC amemaliza kwa sasa
  Aliyoongea kwa ufupi
  -Kuna visima vya Gas 60 mpaka sasa
  -Kuna makampuni 18 ya utafutaji wa mafuta yapo nchini
  -Tanzania utafiti ulianza 1952
  -Sosongo kuna gas kiasi cha 880 Bilion CF imehakikiwa
  -Mnazi bay 262 Bilion CF iliyohakikiwa
  -Mkuranga 200 Bilion CF
  -Kiliwani (Nyuni) 70 Bilion 85
  -Ntorya -Mtwara 178 Bilions CF
  Deep Sea
  -Kitalu na. 1 &4 vilivyopo ni 11.97 trilion CF (kazi inaendelea)
  -Kitalu 2 (Statoil) 9.0 Trilion CF
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Yaleyale ya MEGAWATI za NGELEJA.......Mhasibu na mafuta wapi na wapi?
   
 3. SINA JINA1

  SINA JINA1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtaalamu kutoka tpdc amesema Kazi ya
  Kutangaza upaatikanaji wa mafuta ni Kazi ya Waziri wa wizara husaka.Wanatarajia wakipata sample ya manila 500 wampe taarifa waziri atangaze.
   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye Red Rekebisha kisha twende sawa.Asante kwa taarifa
   
 5. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Iwapo hadi sasa watanzania hawajafaidika kwenye dhahabu na Tanzanite, hata hiyo gesi itaambatana na mikataba mibovu vilevile. CCM isipoondoka madarakani, hakuna lolote jema!!!!
   
Loading...