Na hii ni Orodha Yenye Baadhi ya Majina ya Marehemu wa Ajali ya Meli Ya MV Skagit | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na hii ni Orodha Yenye Baadhi ya Majina ya Marehemu wa Ajali ya Meli Ya MV Skagit

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gumzo, Jul 20, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]

  [​IMG]
  Wanachi mbalimbali wakiangalia Picha za Marehemu waliofariki kutokana na ajali ya Meli ya Mv,Skagit ili kila mwenye maiti yake aweze kuitanbua na kufanya taratibu za Kuichua kwa ajili ya Mazishi hapo katika Viwanja vya Maisara Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI - MAELEZO, ZANZIBAR

  --

  Jeshi la Polisi nchini, limetangaza orodha ya majina ya watu waliofariki katika ajali ya meli ya MV Skagit, iliyotokea juzi katika eneo la Chumbe Kisiwani Zanzibar.

  Licha ya kutaja majina hayo, idadi ya miili ambayo hadi jana imepatikana kutokana na kazi kubwa ya uokoaji inayofanywa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama, imefikia watu 63. Kati ya watu hao, waliopatikana na idadi kwenye mabano ni pamoja na wanawake (41), wanaume (9) na watoto (12), ambapo kati yao wakiume ni (5) na wa kike (7).

  Msemaji wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Mohammed Muhina, alitaja baadhi ya majina ya marehemu waliotambuliwa kuwa ni:

  KWA HABRI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
   
Loading...