Kasulambai ASHINDA KESI IGUNGA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasulambai ASHINDA KESI IGUNGA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by beyanga, Jul 20, 2012.

 1. b

  beyanga Senior Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mahakama kuu yatupila mbali kesi ya ccm
   
 2. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu bado hujaeleweka ni kesi gani hiyo unayosema
   
 3. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Si bora usingepost kama ndio hivi..unataujazia server zetu bure..
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Jamaa kapewa na wakili fununu tu, yeye kalipuka! Mkuu rudi utuelezee zaidi
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Anafanya mazoezi ya kupost, kajiunga juzi tu!!
   
 6. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Kuna post ingine nimeiona inasomeka hivi-Kasulumbai ahukumiwa miezi 7 jela!!nimejaribu kuitafuta tena sasa hivi siioni nahisi kizunguzungu bado sijajua ukweli ni upi, huyu naye kaja na kichwa cha habari tu.
   
 7. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Join Date : 17th July 2012
  Posts : 41
  Rep Power : 309
  Likes Received 5
  Likes Given 19
  KARIBU JAMVINI MKUU, ANYWAY HONGERA CHADEMA
   
 8. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hope hii habari si za uzushi. Hongera CDM!
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  kama ni mazoezi basi bora angeeleza mke wake kapika nini leo na baadae ataelekea baa gani kunywa pombe kuliko hii aliyopost ambayo haina kichwa wala kiuno!!
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Threads za namna hii zafaa kupigwa chini na mods!
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,745
  Likes Received: 12,822
  Trophy Points: 280
  Kila anapo kanyaga burn lazima case itokee!
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Kuna uzi mwingine unasema Kaulumbai ahukumiwa miezi saba au kulipa fine uzi huu unasema kasulimbai kashinda kesi which is which?Mods mpo tu mnaangalia mkanganyiko huu nilidhani mngeingilia kati na kuzifuta thread zote mbili hadi uhakika upatikane!
   
Loading...