Majeruhi wa meli iliozama waendelea vizuri hospitali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majeruhi wa meli iliozama waendelea vizuri hospitali.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gumzo, Jul 20, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h] [h=3][/h]
  [​IMG]

  Waandishi wa Habari mbalimbali wakimuhoji Dk.Ahmed Makata Mchunguzi Mtaalamu wachanzo cha Vifo Jeshi la Polisi Dare es salaam kuhusiana na Taratibu zinazoendelea katika Viwanja vya Maisara zinazowekwa maiti za ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Baadhi ya Majeruhi wa Ajali ya Meli ya Mv,Skagit iliozama karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar wakiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali kuu ya Mnazi mmoja Zanzibar na hali zao zinaendelea Vizuri.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI
   
Loading...