Kasulambai ahukumiwa miezi saba jela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kasulambai ahukumiwa miezi saba jela

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kageuka, Jul 20, 2012.

 1. K

  Kageuka JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hukumu ya kesi ya kumdhalilisha Dc wa Igunga wawa kati huo mama Kimario, imemtia hatiani Mhe. mbunge Kasulumbai, kwenda jela miezi saba au faini ya Tshs laki moja na nusu na kumlipa Mhe. Dc Tshs Milioni moja ya fidia!
  Ikulu wamemsaidia mhe. kasulumbai asipoteze ubunge wake.SIKUBALIANI NA HUKUMU HII
   
 2. H

  Honey K JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Magwanda kwishney!!!!
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
 4. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  mbona kuna taarifa humu zinasema kuwa hawakupatikana na hatia yoyote! vipi hii!!?
   
 5. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mfumo kristo huo! ingekuwa cuf hapo hakuna faini ni kifungo tu. nchi sijui inaelekea wapi?
   
 6. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi hapo pana hukumu kweli, au magamba ndo wamesalender
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  umekosea cord namba!
  Hapa ni motuary, unamuulizia marehemu yupiiiii?
  Ndiyooo, maiti yanu ya ccm ndio inaoshwa na viongozi wote wa dini wapo tayari kuiswalia na kuiombea, unaweza kuwahi msibani!!!
   
 8. H

  Honey K JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280


  Unatania au uko serios!?
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  ninyi wote inabidi mchunguzwe, atakayebainika muongo ashughulikiwe kulingana na kanuni za humu
   
 11. H

  Honey K JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Gooooooooooooood! Una akili sana!!
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Nape usimlipe posho huyu, hafai kwa kuwa hafuati maadili na mikakati tuliyojiwekea ikiwemo kuanzisha mada za uongo unaofanana na ukweli.
  Narudia tena nape usimlipe posho Kageuka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Labda tukakate rufaa kwenye Mahakama ya Kadhi.Tehe! Inauma kwa saaana!!!!

   
 14. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mods...hakuna namna ya kumwadhibu muanzisha mada kwa kujaribu kuupotosha umma?
   
 15. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hii habari mbona haieleweki??
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu Honey K! hiyo K... inanitatiza namna fulani.
  Back to the topic.
  Wanaojimaliza ni ccm ambao wamekumbatia nguvu ya dola kwa maana ya polisi na mahakamaa, jumlisha usalama wa taifa.
  Watanzania wanaona, adhabu yenu 2015 siyo mbali. You are to prepare to flee out of the country seeking asylum!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. L

  Loomu Senior Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe cuf ya kidini!!!!!! Asante kwa kuwajuza watanzania
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,602
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  Kwani baba Mwanaasha anayetoa maelekezo kwa majaji na mahakimu ni Mkristo? Acha upuuzi wewe.
   
 19. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nakuuliza wewe, udini wako umekusaidia nini? tuache mambo ya aina hiyo
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  mkigoma unaingiza benki shillingi ngapi kwa ajili ya Religion Hatred hapa JF kila kukicha!?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...