Manispaa ya Moshi ni mfano wa kuigwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manispaa ya Moshi ni mfano wa kuigwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Magesi, Jul 20, 2012.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Manispaa ya Moshi ikiongozwa na Meya makini kutoka chama makini CHADEMA imeonyesha kuwa ni mfano wa kuigwa hii ni baada mgomo uliokuepo kuhusiana na ushuru kutoka sh 1000 mpaka 1500 kutikisa hali ya usafiri kwa siku kadhaa,Imeonyesha lengo la kuongeza ushuru baada ya kuanza utekelezaji wa bajeti kwa kishindo na kuwaziba mdomo CCM kwa kuanza ujenzi wa barabara za katikati ya mji ambazo CCM walishindwa kuzitengeneza kwa kipindi kirefu.M4C DAIMA
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo mkuu mgomo umeisha, na watu wamekubali kulipa hicho kiwango kipya cha ushuru?
   
Loading...