Dr. Slaa Aimarishiwe Ulinzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa Aimarishiwe Ulinzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Jul 20, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni mawazo yangu tu, wala usifikirie mbali sana. kwa wadau wakubwa wa siasa za Tanzania, naomba Dr. Slaa aimarishiwe ulinzi ikiwa ni preventive approach kwa hali ya mambo ilivyo hivi sasa hapa TZ.

  Huyu ni mtu muhimu sana ktk harakati za ukombozi ambazo mrema alizianzisha lakini akarudi nyuma hadi kuungana na CCM kifikra japo physically yupo TLP. Siasa ya TZ sasa inavitisho kuliko wakati mwingine wowote kwa vile CCM imepoteza mvuto kwa UMMA, na nguvu ya UMMA imeendelea kuimarika siku hadi siku.

  Je unafikiri kama mimi kuwa ni vema dr. slaa apewe ulinzi wa ziada, chama kiifanye kazi hiyo na wala sio serikali.

  Naomba kuwasilisha
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Atalindwa na Mwenyezi Mungu, Tunaomba
   
 3. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kiongozi najua unaomba tena yaweza kuwa unakesha lakini watu wangu si wanaangamia kwa kukosa maarifa??? alindwe baada ya maombi ili kuweka maarifa ktk suala hili
   
 4. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aimarishiwe ulinzi na nani na kama nani!? Kama kufanyiziwa sidhani ka inashindikana.
   
Loading...