Kibonde aiponza Wizara ya Habari utamaduni na Michezo

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF kutokana na maneno aliyotamka mtangazaji mwandamizi wa kituo cha Radio mawingu(CLOUDS FM)Ephraim Kibonde katika kipindi chake cha Jahazi kuwa"Wabunge kutoka nje baada ya kukataliwa na Spika ni Utovu wa Nidhamu,:Kauli hiyo imekuwa chungu sana Maskioni mwa Wabunge ambao wamepanga Kuikwamisha bajeti ya Wizara hiyo hadi hapo atakapoomba msamaha,pia kitendo cha TBC kupika habari kimewakera wabunge wa CUF
Chanzo Mbunge
 
Ila huyu mtu anamatatizo mengi sana na mwisho wake ni mfupi kwani kitu kama anatumi na magamba
 
Nitajua hao wabunge wako serious siku nikiona wana ikwamisha bajeti hiyo kikweli!
Huenda huyu mpumbavu akajua kuwa redioni si mahali pa kutafutia bwana!
 
Tatizo la Kibonde ni njaa tu anajifanya mjuaji wkt hamna anachokijua. Ni kati ya hopeles presenter pale clouds. Wakianzisha kipindi cha comedy angefaa. siasa yeye engineer yeye, sheria yeye michezo nk ukikuta hamna anachokijua ndani yake. Hana jeuri ya kukwamisha wala influence na wizara au bunge. He is one hopeles with a platform.
 
Media zinahaki ya kutoa opinion zao independently kwa kila tukio whether muhusika ni raia,rais mbunge ama yeyote,hawa wabunge sio malaika kiasi kwamba tusiwaseme wanapokurupuka,kama wamefikia kuapa kukwamisha bajeti kwasababu za kipuuzi na personal conflicts ni indicator kua wamepoteza focus na hawafanyi kilichowapeleka bungeni,hatukuwatuma kufanya upuuzi na kuanzisha mapambano na kila wasiempenda
 
Kibonde mhurumieni tu, tangu achanganye dozi akili haiko sawasawa, lawama ziende kwa bosi wake.
 
Wana JF kutokana na maneno aliyotamka mtangazaji mwandamizi wa kituo cha Radio mawingu(CLOUDS FM)Ephraim Kibonde katika kipindi chake cha Jahazi kuwa"Wabunge kutoka nje baada ya kukataliwa na Spika ni Utovu wa Nidhamu,:Kauli hiyo imekuwa chungu sana Maskioni mwa Wabunge ambao wamepanga Kuikwamisha bajeti ya Wizara hiyo hadi hapo atakapoomba msamaha,pia kitendo cha TBC kupika habari kimewakera wabunge wa CUF
Chanzo Mbunge

Porojo tu hiyo; ya Kibonde ni maoni yake binafsi ambayo hayana mashiko ndani ya Bunge maana kibonde sio mbunge wala waziri! si msimamo wa wizara kwa hiyo kukwamisha bajeti ya wizara kwa sababu kama hiyo ni kuchoka kufikiri! mambo ya kukwamisha bajeti ni kama tabia ya TBC kushindwa kuwa impartial katika coverage yake ya mambo mbali mbali na kukubali kutumiwa kama mouth piece ya chama tawala wakati inagharimiwa na watanzania wote! kule uingereza; BBC ni chombo cha serikali lakini hata serikali yenyewe huraruliwa ipasavyo kila inapofanya Unchemba nchemba wa kipuuzi;
TBC inatakiwa iache propaganda za kisovieti iliyosambaratika na misamiati mingi hewa ya kina Marini, lile sio darasa la kiswahili ni redio ya umma!! Sasa hivi ile dhambi ya kumfitini na kumharibia CV Tido Mhando inawatafuna kuliko maelezo; watu wakilinganisha TBC ya Tido na TBC ya Mshana ni kama usingizi na kifo!! two different broadcasting houses! sasa hivi utafikiri ni TBC (Tanganyika) ya kina David wakati na Suleiman Hega 1961 wakitangaza sherehe za Tanganyika kupata uhuru!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom