WANAJF,
Chama Kipya chenye usajili wa Muda CHAUMMA kimeendelea kujikusania wafuasi na wanachama wengi Dar Es Salaam na mikoani. Kwa Dar Es Salaam pekee wiki ya kwanza wanachama zaidi ya 45,000...
Jamiiforums,
Hivi mtu akitaka kutoa maoni yake kwa tume ya katiba online atatakiwa afanyeje? Tume ya Warioba ina website kwa ajili hiyo?
Mimi kuna jambo linanipa shida sana. Leo mtu kaenda...
Kila siku viongozi wetu wanatuimbia wimbo mzuri ya kuwa miundombinu ya nchi iko imara na ya kujivunia. Sasa ktk hali ya kawaida tukiangalia shirika la reli linakatisha tamaa hali yake sio nzuri...
Kutokana na mivutano ninayoiona kwa sasa, naamini serikali ya chama kimoja itatawala kwa shida sana, kutakuwa na hujuma mbalimbali toka vyama vingine kama inavyotokea sasa. Watanzania lengo ni...
Wana JF
Taarifa nilizonazo ni kwamba JK amemteua Bw. Assah Mwambene, Afisa Habari wa wizara ya mambo ya nje kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO.
Mwambene anachukua nafasi ya Clement...
Kwa kweli nimeangalia bunge na kugundua halina maana yoyote na haliisaidii au kuisimamia serikali.wabunge wako kishabiki zaidi wanaboa sana!
Halina maana hivyo livunjwe rasmi na tuitishe uchaguzi...
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limeandaa maandamano ya amani kupinga mabadiliko ya kupitishwa kwa sheria ya marekebisho ya mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA). Maandamano hayo...
Najua mnashangaa, lakini jiulizeni; inawezekana vipi?
Nasema waalimu walianza mgomo zaidi ya miaka10 ilopita kwa kupima mambo yafuatayo;-
1. Pamoja na kuongezeka idadadi ya shule na wanafunzi...
Mtukufu Rais wetu. Mlipopanda ndege mwaka 1995 kwenda Dodoma kurudisha fomu ya wewe kuomba uteuliwe kuwa mgombea urais, mlionekana bado ni vijana. Sababu ilikuwa ni wote wewe pamoja na Laigwenan...
Wanajamvi mimi haya mambo yananipa wakati mgumu kuelewa, kabla na baada ya uhuru tulikuwa wananchi na serikali yao tulikuwa kitu kimoja na sote tulikuwa na adhima ya kupigana na maadui watatu...
Baada ya CHADEMA kunyakua viti vingi vya ubunge ktk uchaguzi uliopita na kuonekana kuwa tishio kwa CCM.
Mkakati ulipangwa kuwanyamazisha wabunge wa CHADEMA bungeni kwa kuwabana kwa 'miongozo ya...
Kuanzia mwaka huu wa fedha 2012/2013 mfumo (system) fedha mapato na malipo ya fedha katika halmashauri unatakiwa uunganishwe na TAMISEMI ili TAMISEMI waweze kuona transactions zinazoendelea...
The topic speaks for itself.
The main thread can be found here: https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/297111-mjadala-tathmini-ya-utawala-wa-rais-kikwete-2005-2012-a.html
Update:
Kama kuna...
Wanabodi
Taarifa za uhakika kutoka miongoni mwa madiwani wa CHADEMA manispaa ya Arusha,zinasema kuwa hawatashiriki mapokezi ya Rais wa JMT anayetarajiwa kufika Arusha kesho,Awali madiwani wote...
CHADEMA inatarajia kuanza Operesheni Kubwa nchi nzima kuanzia Jumamosi ya tarehe 4 Agost katika Mkoa wa Morogoro,Iringa,Dodoma,Singida na Manyara kwa siku 44. Baada ya Mikoa hii itakuwa ikiendelea...
Kauli mbiu aliyoitoa Bungeni akichangia hotuba ya makadirio ya Budget ya wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi kuwa CCM itaondoka madarakani kwani uwezo tunao na sababu zipo na kuwa hata wao CCM...
Rais wa CWT amekanusha kile kilichoripotiwa na gazeti la serikali la Habari Leo kwamba Mwalimu Gratian Mkoba alihudhuria na kusaini kitabu cha mahudhurio Shuleni. Amesema atalishtaki gazeti kwa...
sasa niwazi kuwa lile sakata linaloendelea ndani ya wizara ya madini na nishati linachukua sura mpya, wale mnaowaona wakipiga kelele ni kuwa si bure, vita yote hiyo nia ni kumngoa Zitto Kabwe na...
Kiongozi wa chama cha walimu (CWT) ametajwa kuweka sahihi yake katika kitabu cha mahudhurio ili kuepuka adhabu. Huu ndio usanii wa walimu na mgomo wao feki.
Source: Magazeti asubuhi hii
UPDATE...
Nakumbuka Vizuri mchakato wa kumtafuta Mgombea Ndani ya CCM mwaka 2005 Ulivyo kuwa Na makundi na vuta niku vute nyingi...
Kwa Wanaofahamu Kwenye Top 3 ya 2005 Jina la JK lilikuwa Halipo..walipita...