Mgomo wa walimu wakati shule zimefungwa

Mazee

Senior Member
Dec 6, 2007
128
24
najaribu kutafakari hapa kuhusu huu mgoomoo wa walimu
nasikia kwanza kwa sasa shule zimefunga na wanaoenda shule ni wanafunzi wa darasa la saba tu
na imefanywa hivi ili kuruhusu zoezi la sensa ambalo kwa kiasi kikubwa walimu ndio the machinery kubwa inayotumika ili kufanikisha

halafu viongozi wa walimu wanaibuka kuwa kuanzia jumatatu wanaanza kugoma mhhh what is this??
Kuna nini hapa maana nashindwa kung'amua kilicho chini ya kapeti kwa urahisi
Je si maigizo haya?mwenye kufahamu aanijuze tafadhali mie nimeishia hapa katika kufikiri...
 
Mazee hebu acheni kuleta habr za uongo jamani, shule hazijafungwa ila ziko karibuni kufungwa manake zitafungwa tarehe 3/aug sisi mgomo unaanza kesho. na hizi zinazfunga ni primary schools wala siyo sekondari. yaani jamani mnanikwaza sana mnapoleta taarifa za uongo juu ya huu mgomo tuacheni jamani.
 
Last edited by a moderator:

tarehe tatu si ni wiki ijayo au?

Kama ndivyo basi hamuonekani kuutangaza vizuri huu mgomo wenu mkuu....
Je huu mgomo ni kwa ajili ya walimu wa sekondari tu au?

Pia walimu mtaaminika pale mtakapoacha kuongea na kuwa practical kwa jinsi tulivyowazoea walimu tunajua tu kuwa haya ni maigizo ni ngumu sana kumuaminisha mtu mzima kuwa kuna mgomo wa walimu unataka kutokea
 
Last edited by a moderator:
RAIS wa cwt anawadanganya walimu kwamba anafanya kazi kumbe yeye ndo kikwazo kwa walimu kwani anakula dili na serikali unaitisha mgomo makat watu wanaenda likizo wiki hii unatarajia matokeo gani kama si USALITI nini?RAIS CWT ndo tatizo na kikwazo WALIMU mwondoeni kwanza then kugoma itakuwa rahisi.
 
Mazee hebu acheni kuleta habr za uongo jamani, shule hazijafungwa ila ziko karibuni kufungwa manake zitafungwa tarehe 3/aug sisi mgomo unaanza kesho. na hizi zinazfunga ni primary schools wala siyo sekondari. yaani jamani mnanikwaza sana mnapoleta taarifa za uongo juu ya huu mgomo tuacheni jamani.
Kwa hiyo walimu wa primary ambao ndio wengi watagoma kwa siku tano tuu kuanzia kesho tareh30 hadi tarehe 3 Aug siku ambayo shule itafungwa?
Unakataa nini na unakubali nini sasa?
 
ngoja nikwambie kitu nani alikwambia kwamba shule ikifungwa mwalim naye anafunga? shule zinapofungwa mwalimu anatakiwa aende kazini na kufanya kazi zake sawa na mfanyakazi mwingine yeyote na asiposain attendance book ni kosa kisheria na anatawajibishwa.
 
asante kwa ufafanuzi. lakini mimi nilikuwa naangalia effect ambayo itatokea kipindi cha mgomo (Hiko ndicho kitu muhimu ambacho Serikali itakurupuka kutoka usingizini). Unafikiri effects zitakazotokea kipindi ambacho mwalimu hatokwenda kusimamia zamu kipindi cha likizo ni sawa na effects ambazo zitaonekana kipindi ambacho mwalimu hatoingia darasani kufundisha wakati wa masomo?
 
huu mgomo hauna mwisho ni mpaka wakati wa kufungua shule utaendelea...labda kama mimi nimewaelewa tofauti.
 
Mazee hebu acheni kuleta habr za uongo jamani, shule hazijafungwa ila ziko karibuni kufungwa manake zitafungwa tarehe 3/aug sisi mgomo unaanza kesho. na hizi zinazfunga ni primary schools wala siyo sekondari. yaani jamani mnanikwaza sana mnapoleta taarifa za uongo juu ya huu mgomo tuacheni jamani.
Ila walimu jaribuni kujiamini sababu mshafanywa kama watoto wakitishwwa na fimbo tu wanaacha yote walioyokuwa wameyaplan kuyafanya.
Kwani mlishatangaza migomo si chini ya mara 5 na hamna hata 1 mlioutekeleza.
 
asante kwa ufafanuzi. lakini mimi nilikuwa naangalia effect ambayo itatokea kipindi cha mgomo (Hiko ndicho kitu muhimu ambacho Serikali itakurupuka kutoka usingizini). Unafikiri effects zitakazotokea kipindi ambacho mwalimu hatokwenda kusimamia zamu kipindi cha likizo ni sawa na effects ambazo zitaonekana kipindi ambacho mwalimu hatoingia darasani kufundisha wakati wa masomo?

waalim tz nzima tuko 185000 ambao nafikiri ni jesh kubwa sana kati yetu wa primary ni takriban 80000 na waliobaki ndio sekondari na vyuo vya ualim. pamoja na wingi huo wa waalim wa msingi lakin wenye effect zaid ni hawa wa sekondar na vyuo kwani wanafunzi wengi wa msingi ni watoto hawawez wakatumika kwenye demonstration sisi tunalenga wanafunzi wa sekondar wainuke kuungana na sisi kwenye hili kumbuka wanafunzi hawa kwanza wana mob psychollogy na wanaweza kutumika watakavyo kuliko wale wa msingi.
 
Ila walimu jaribuni kujiamini sababu mshafanywa kama watoto wakitishwwa na fimbo tu wanaacha yote walioyokuwa wameyaplan kuyafanya.
Kwani mlishatangaza migomo si chini ya mara 5 na hamna hata 1 mlioutekeleza.

hapa mpaka kieleweke aaisee kama huamini nipe kavakesheni uanzia kesho uone kama sijakuja no job kesho mijuu guu.
 
kwa walimu wa bongo tusidanganyane hakuna cha mgomo wala nn mtaona,wakiambiwa tu kuwa akili zakupewa changanya na zako darasani haoooo...
 
Najiribu kufikiri ni jinsi gani naweza kukutumia ticket ukuje huku si unajua Precision wana ofa kabambe?
Give me only 2 minutes i 'll be back.

am counting only 120 minutes na mimi na wewe hakuna shida tutalala hata kwa bed rum moja pasi ku do manake wewe ni experienced katika hilo si unakumbuka ulivyo kuwa china?
 
Taratibu na mke wangu mkuu!!
Unatafuta kutembelea Mabwepande!!

;)

heheheheh! leo nimekamatika uskute wewe ni Gy atii. please huyu hana effect kabisaaaa? si unakumbuka china alilala na mke wa mtu kwa rum moja wiki nzima bila kuvunja amri ya sita??? ni mwema sana asikutishe
 
Walimu safari hii tukubali liwalo na liwe kwani kuna habari za kuaminika walimu wakuu na wakuu wa shule wameitwa na maafisa elimu wilaya na kuwapa form ili walimu wajaze kama wanajihusisha na mgomo au la hii ni divide and rule walivyo baadhi yetu waoga basi utakuta wanajaza hizo form hebu tuoneshe mshikamano japo kidogo kwa angalau mgomo wa hizo siku tano ili hishima yetu iliyopotea irudi la sivyo tutazidi kudharauriwa hata na wasukuma mkokoteni.hebu kesho twaone wasaliti wetu na tumone mukoba kama n anatumika au la
 
Back
Top Bottom