Wabunge wa CHADEMA Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kuhojiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CHADEMA Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kuhojiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 29, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Habari za ndani ya uongozi wa juu wa Chadema nilizopata hivi punde zinasema Wabunge wa Chadema waliomo katika kamati ya Nishati na Madini inayovunjwa wataitwa mbele ya vikao vya juu vya chama hicho kujitetea kwa tuhuma za rushwa na ikithibitika walihusika wataombwa wenyewe wajiuzulu ubunge. Wakikataa watafukuzwa uanachama mara moja bila kujali nyadhifa zao katika chama.

  Naupongeza uongozi wa CDM iwapo watachukua hatua hii -- na itakuwa fundisho kwa kile chama cha rushwa ambacho kulindana kwao ndiyo utamadauni wao bila kujali athari kwa wananchi masikini.
   
 2. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni sawa ili tujipange zaidi kutwaa na kuingia magogoni kwa kishindo.
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni njia sahihi katika kurudisha utamaduni wa uwajibikaji uliopotezwa na sisiemu kwa uchu wao wa fedha.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ni akinanani hao?
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kamdanganye mumeo au mkeo, hujui hata unachokiandika baada ya kukitunga.
  Tunajua unataka kumlenga hasa Mnyika ambaye katu hajahushwa.

  Ni bora hata ungeandika kuwa Chadema kuwavua uanachama wabunge watakaofahamika kuwa wamehusika na rushwa.
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Unawatega CDM.
   
 7. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  siku zote chama cha wananchi ni kile kinachotenda haki bila kupendelea upande wowote nitawapongeza chadema kama watawachukulia hatua hao wahusika ,lazima mambo yawekwe wazi kama wameweza kuchukua rushwa hawajiingia ikulu je wakiingia itakuweje......ni maoni tu mm" msakatonge mtumwa ndani ya nchi yangu"
   
 8. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  yes na hiyo ndo tofauti ya chama makini CDM na genge la wahuni!
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamani muwe mnazingatia na source ya habari mnazoziandika humu.
  Members wengine humu wana akili timamu.
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  hii thread yako ni nzuri ila ulitakiwa uendelee mbele zaidi na kusema hivi, wabunge wa chadema walio kwenye kamati hiyo ni----,------,-------, na wanatuhumiwa kupokea rushwa ni ------, ---------, na ---------
   
 11. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naamini hii thread ni ushushu. Lakini hata hivyo hii inaweza chukuliwa kama maoni muhimu ya mtu yeyote ambaye asingetaka CDM kichafuliwe na wabunge wabinafsi. Na kama kweli wapo waliopokea rushwa basi CDM wachukue mtazamo wa huyu jamaa kama njia muhimu ya kukihakikishia chama heshima machoni pa wananchi.
   
 12. d

  diwan JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni uamuzi mzuri kwa ustawi wa Taifa,
   
 13. d

  diwan JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ni vizuri kwa ustawi wa Taifa
   
 14. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 6,027
  Trophy Points: 280
  Good point! Ni heri ikibidi kupoteza majimbo yote kuliko kulinda wala rushwa ndani ya chama. Wajieleze na ikithibitika waachie nafasi zao mara moja bila kujali nafasi yake ndani ya chama au umri wake.
   
 15. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  kamtego ka kitoto.jipange upya ndugu.
   
 16. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Bila kujali source hili ni jambo muhimu sana,hata kama kamati tendaji ya chama haijaazimia kufanya hivyo lakini kimsingi ni lazima hilo litokee.

  Hapa hakuna kuwa na nidhamu ya woga:waitwe wabunge wetu na wahojiwe ili wathibitishe au wakanushe tuhuma.

  Kama kweli halihusika ni vema wakawajibika unless ufisadi uliofanyika uwe ulikuwa nje ya uwezo wao. Wale wa ccm hawatuhusu...hawa wa kwetu walifanya nini?
   
 17. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtego huu hata Inzi hanaswi.. Mtego wa kibooooooooya!
  By the way Mahakama zipo
   
 18. I

  IDIOS Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu vp wewe mbona hujitambui. Ujue ucwe mwepesi wa kuponda wenzako kabla hata ya jusona kwa undani habari yake kuwa amamaanisha nini.

  Jamaa hapo juu kaandika vizuri sana amesema kuna uwezekano wa kuitwa mbele ya kamati ya chama ili kuweza kuhojiwa na kama watabainika kuhusika watashauriwa kujiuzuru ubunge wao na kama watakaidi ushauri huo watavuliwa uanachama wao.

  Sasa wewe mambo ya kukejeli mwenzako kwa utovu wa kufikiri kwako ni makosa makubwa sn. Unamkejel mwenzako but wakati huo huo unaingia kwenye hoja ya mwenzako nini mana yake.

  Hapo chini ya comment yako umesema labda "ungesema kama wakigundulika do wachikuliwe hatua" ni maneno ambayo mwezako hapo juu kasema hayo hayo.

  My take:
  Tunashauriwa tuwe makini katika kuchangua hoja za wenzetu.

  Kukosoa kila kitu haimaanishi kama ndo unaipenda sn chadema bali nenda kwa uangalifu tu kwani hata cc chadema hatufurahishwi na hatutafurahishwa na maovu yao kama watagundulika kufanya.

  Nawasilisha.
   
 19. M

  Mzee wa Safety Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamati inafahamika wazalendo wanajulikana na wasio wazalendo wamo pia "ni nyakati za mwisho"
   
 20. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mauozo ya CDM yatafumuka wakiwatimua ni bora wawakumbatie tu mafisadi wao.
   
Loading...