Rais wangu JK, tazama ujasiri wa marais wenzako! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wangu JK, tazama ujasiri wa marais wenzako!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAKOLE, Jul 29, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  "Ollanta Humala, Peru's president, reshuffled his cabinet after violent protests over a mining project left five people dead. The new prime minister, Juan Jiménez, is a human-rights lawyer".

  Mtukufu raisi wangu lau kama ungekuwa na ujasiri huu ungevikwa taji la raisi mwenye kuitekeleza dhana ya uwajibishanaji.

  Mungu bariki!
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  MKuu we unadhani akifanya hivyo Sizi zake atazitunza nani? na yeye ataendelea kutunyonyaje? Lakini ajue Malipo ni hapahapa duniani.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  MTUKUFU NI MWENYEZ MUNGU PEKEE!¡i
   
 4. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,099
  Likes Received: 1,199
  Trophy Points: 280
  Unachekesha, Kikwete afanye hivi? Miaka yake 5 ya awali katika urais waTZ tumeteseka sembuse hii ya lala salama? Hapa hafanyi kazi yeyote kilichobakia ni kutalii kila kukicha na kumuwekea Ridhiwani mazingira mazuri ya biashara.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Si kwa huyu,unatwanga maji kwenye kinu.
   
 6. b

  bdo JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  Huyu Rais wa Peru ni design hiyo - hiyo, kwani huyu Kikwete kaishafanya reshuffle ngapi, na zimeleta matunda yapi? ningesikia kama kawawajibisha wangapikutokana na hayo maandamano na mauaji at least ningesema yes, alichofanya huyu raisi ni sawa na Kumtoa Magembe Kilimo kwenda Maji, Mkuchika kutoka TAMISEMI kwenda Utawala bora, etc, mimi naona ni madudu yale yale, labda kama reshuffle inafanyika kupiga mkwara na kuwaonyesha cabinet kwamba rais ndio bosi wao na amiri jeshi au kuwa yupo madarakani!
   
 7. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kuna wa kujifunza lakini sio huyu!
   
 8. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  huyu naye kama mwinyi. Wezi wote, mwinyi mkewe ndo alituibia huyu mwanaye na yeye mwenyewe wote wezi
   
 9. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  labda awe mwingine lakin huyu ni sawa na VACUUM...EMPTY!!
   
 10. N

  Njaa Mbaya JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 667
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ushauri wako kwa huyu jamaa ni sawa na kulipigia jiwe gitaa
   
Loading...