Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kix, Jul 24, 2012.

 1. kix

  kix JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Soma hansard ya bunge ya tarehe 13 april kumbe bunge lilipitisha hoja kana kwamba inamashiko kwetu.

  Wabunge ni wawakilishi wa wananchi wapo bungeni kupeleka kile ambacho tunawaagiza sasa nashidwa kufaham vizuri kwenye mswaada wa Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2012, je Myika hayo ndo wanafanya kazi wanaishi ubungo walikutuma.

  Je, Stealla Manyanya, Halima Mdee hayo ndo ulitumwa na wanchi wa jimbo lako au tukifika pale tunatumia utashi wetu binafsi na kwadharau wananchi waliokupa ridhaa hiyo tena kwa kukesha kulinda kura zako kusudi utete matatizo yao?

  http://polis.parliament.go.tz/PAMS/docs/HS-7-4-2012.pdf
   

  Attached Files:

 2. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Mkuu kwa simu yangu hii kitu ni ngumu kusomeka
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Nawapa benefit of doubt wabunge wa vyama vya upinzani kwa maana jinsi sheria zinavyopitishwa ("wanaoafiki waseme ndiyoo" etc) huwezi kutegemea wapinzani wasilkilizwe. Issue ni kuwang'oa magamba 2015 ili sheria za kipuuzi kama hii zibadilishwe
   
 4. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Haifungu kwenye kacm kangu,ni click open,inasomeka invalid web
   
 5. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapinzani wanajitahidi sana kusemea miswada mibovu isipite,tatizo ndiooooo! za magamba huwa zinawafunika.
   
 6. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Asante kwa kitu hiki.
   
 7. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Pathetic!!!


   
 8. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kupita kwa haraka haraka lakini sijaona ukurasa unaozuia kuchukua hela yetu kabla ya kustaafu. Please alieona huo ukurasa naomba aniambie ili nijaribu kuupitia manake bado siamini ninachoendelea kukisikia!!
   
 9. kix

  kix JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa mantiki hii tunahitaji mabadiliko kwani mwananchi anaumizwa sana kwa kutumikia sheria kandamizi ambazo hazikumshirikisha yeye mhusika,sasa wakati mwananchi huyu anavunja sheria then tunamuona ni mbaya na anashtakiwa wakati waliotunga sheria wanakaa masaki na hawajui hali halisi ya mtanzania.sikatai wao kukaa masaki au popote tatizo langu ni kutengenezwa sheria ambayo itabeba mawazo ya mtanzania na si mawazo ya watawala.
   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kikwete will burry us alive! Mark my lips u guys! Sijui alitokea wapi huyu punga zeze! Puuuuuuuu!
   
 11. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimeshtushwa sana kwa kusikia na kusoma katika vyombo vya habari kuwa mafao ya wastaafu au waliojitoa katika mifuko hii miwili ya hifadhi ya jamii, yaani NSSF na PPF, hawatalipwa hadi wafikishe umri wa kustaafu kwa hiari (55yrs), au kustaafu kwa lazima (60yrs).

  Hii ni sheria kandamizi na wala haina tija, huu ni udikteta wa hali ya juu. Yeye Kikwete anazo qualifications za kupata fao lake kwani ana zaidi ya 60yrs. Kuhusu akina sisi ambao tuna miaka 25 na ndio tumeajiriwa hata mwaka hatuna, tunaitafuta 40years. As per our lifespan, nani atafika huko?

  Wengine tayari ni wagonjwa na wadhaifu, baada ya miaka mitatu tu wanaanza kuugulia vitandani,,,,je watapata wapi hizo fedha zao, na kwa utaratibu upi?

  Fedha yenyewe unaambiwa haina riba, sasa unanikata na by the end kila kitu kitakuwa juu...huyu mzawa ataishije?

  Siishii hapa, wengine wameanza process za kuacha kazi na kwenda kujiajiri wenyewe, wengine ndio wanaihama nchi wakajitafutie huko kunako, (ughaibuni) je waende na kuacha amana zao nyuma?.....

  Udhaifu mkubwa wa serikali ya CCM.....malipo ya huduma na lipa kadiri unavyopata (Pay As You Earn-PAYE) yanaenda wapi...kwanini wnanchi wasishirikishwe katika hili kwani ndio wanaopitia makali ya maisha? Hizo ajira za hadi mtu afikishe miaka 55 ziko wapi? OK Hata kama ni kwa wote...SEKTA BINAFSI....WAMENYIMWA uhuru wa kuwatetea wafanyakazi wao,.....Hili bunge lilikaa lini na kupitisha sheria ya namna hii?.........sipati picha na ndio maana nina maswali zaidi ya elfu.

  Kwa hili Mhe. Rais umekurupuka kusaidi, ungetuuliza sisi wananchi unaotutawala ili tutoe maoni na mapendekezo yetu kama hiyo inafaa.. Kuhusu Mikopo ya nyumba itokanayo na dhamana ya "NINI MTU ANACHO KATIKA HIFADHI YA JAMII" Ni loop hole nyingine ya UDIKTETA WAZIWAZI NA MWANYA MPANA WA RUSHWA" UWEKWE MDAHALO UTAKAOPINGA KWA NGUVU SHERIA HII ISIYO NA TIJA KWA RAIA ZAKE"

  Hii imenifanya na mimi niwaze kwa kina na outcomes ni "KUTOKUWA NA IMANI NA RAIS WANGU" haswa unapofika katika suala hili.

  Naamini serikali haiko serious kujenga nyumba kwa gharama nafuu na wala hakuna mtu anahitaji ajengewe hiyo nyumba. Cha msingi hapa ni kila Mtu achuklue chake mapema.........MNYONGE MNYONGENI NA HAKI YAKE MPENI.

  Nawasilisha hoja hii nikiwa na hasira na hata I dare to confess kuwa "Mwisho wa Serikali Dhalimu Ya CCM Umefika".
   
 12. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  " Muswada
  umeandaliwa kwa kuwashirikisha Wadau wote wa Sekta ya
  Hifadhi ya Jamii, wakiwemo Wafanyakazi, Waajiri na Serikali,
  ikiwemo Mifuko yenyewe kupitia Vikao vya Wadau na pia
  Baraza la Ushauri wa Masuala ya Kazi Jamii na Uchumi, yaani
  RESCO. Kimsingi, wadau wote waliunga mkono mapendekezo
  yaliyomo katika Muswada huu."

  Huyu Waziri ni muongo. Hivi lini tulishirikishwa wafanyakazi??
   
 13. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dare to confess being out for nationalwide worker strike hata kwa kuuana tupo tayari kikwete kama unataka vita hii yaja
   
 14. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kweli hajui kusoma alama za nyakati!!!......We will stand out and FIGHT!!
   
 15. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaburi hili limechimbwa vizuri sana na ccm kwa ajili ya mazishi yao.............ccm juu mtajua watz ni nani baada ya kujisahau miaka 50 baada ya uhuru hamwezi kuchezea maisha yetu kiasi hiki muacheni unafiki
   
 16. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  hata mimi ni kama hawakutaka kuweka hilo wazi, ukapitishwa juu,juu!!
   
 17. kix

  kix JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jahazi couds fm topic ya mafao na wahusika wapo.
   
 18. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Asante, hii kitu inanisaidia sana kwa research paper yangu!
   
 19. m

  mende dume2 Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kabla hujalaumu, soma ukurasa wa 142, uone mnyika alisema nini na wewe unataka nini huku ukiuelewa mfumo wa bunge lako chini ya MAGAMBA
   
 20. b

  bogota the king Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  UDHALIMU huu tutaupinga kwa nguvu zote! Kama mliwekaza pesa zetu kwa malengo yenu ya KISIASA hamtafanikiwa!
   
Loading...