Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maxence Melo, Jul 18, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  Taarifa niliyoipata toka kwa source wetu ndani ya kikao cha CCM huko Dodoma zinashtua kidogo.

  Wabunge wa CCM wamepandisha mori wakitaka Jairo (Katibu Mkuu wa Wizara) atimuliwe na wakaendelea kutishia kuwa hata Ngeleja naye anatakiwa kuachia ngazi.

  Wabunge wa CCM wamemtaka Jairo ajiuzulu kutokana na kashfa ambayo imeletwa na Shelukindo juu ya Barua aliyoandika kuzitaka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini zitoe 50mil kila moja ili kupata pesa ya ku-lobby ili bajeti ipite.

  Wameitaka serikali kupunguza 20% ya bajeti za 'Other Charges' na pesa zote za kujenga majengo ya Wizara ili ziende kwenye UMEME ama vinginevyo bajeti haipiti na Ngeleja atatakiwa kujiuzulu mara moja.

  UPDATES:

  Waziri Mkuu Mizengo Pinda kaomba mjadala uahirishwe mpaka baada ya wiki tatu ili waweze kujipanga upya. Kaonyesha kusikitishwa na kitendo cha Jairo na kasema ingekuwa ni kwa hiari yake (bila kumsubiri rais) angechukua maamuzi haraka sana
   
 2. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Endelea kutujuza mkuu
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lete utam mkuu
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja mkuu. hawa jamaa hawawezi kutuchezea akili kiasi hiki. wakipitisha bajeti hii tu tunaiingia street. Enough is enough. Ikulu pamekuwa pango la walanguzi na wanyanganyi.
   
 5. k

  kaiya Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe maamuzi magumu yanawezekana! Thanks to Lowasa
   
 6. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Wabunge wa CCM wamemtaka Jairo ajiuzulu kutokana na kashfa ambayo imeletwa na Shelukindo juu ya Barua aliyoandika kuzitaka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati na Madini zitoe 50mil kila moja ili kupata pesa ya ku-lobby ili bajeti ipite.

  Wameitaka serikali kupunguza 20% ya bajeti za 'Other Charges' na pesa zote za kujenga majengo ya Wizara ili ziende kwenye UMEME ama vinginevyo bajeti haipiti na Ngeleja atatakiwa kujiuzulu mara moja
   
 7. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hiyo tamu mkuu.
  Samahani wakuu, huyo Jairo ndo nani tena?
   
 8. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  akuletee utamu wewe umelala....ndo maana unaitwa mkimbizwa mbio
   
 9. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  I updated the 1st post
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Kuna kazi leo...
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  This might be the one good news of what has been a very horrible and dark month...
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Naskia kuna wabunge wametumia maneno makali hadi wakaambiwa wanatoa faida kwa upinzani....ila ishu ya Jairo umekuwa msumari wa Moto kwa ngeleja
   
 13. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  km-wnm.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Poor Ngeleja. Ningekuwa mimi ndo yeye ningeachia tu hiyo wizara halafu tuone huyo atakayekuja atafanya nini. Manake mimi binafsi sioni wapi Ngeleja alipokosea.
   
 15. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha 20% kupunguza gharama ya majengo, ikinachotakiwa ni Ngeleja to step down.
   
 16. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Sasa hii itasaidiaje kurudisha umeme?cha msingi waziri atoe tamko ni lini na kivipi umeme utakuwa wa kuaminika.kama hawezi aachie ngazi!!
   
 17. Ba Martha

  Ba Martha JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakitimiza hili (ccm) la kuikataaa bajeti ya wizara ya madini na nishati...baba wa taifa anafufuka.
   
 18. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,372
  Trophy Points: 280
  Nitaaondoa kauli yangu ' akili kama za wabunge wa ccm' jioni wakikaa kama kamati, asante kwa taarifa
   
 19. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu Allien, kumbe ndo mtendaji wa hii wizara - dili.
   
 20. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  The permanent secretary in the Ministry of Energy and Minerals, Mr David Jairo.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...