Mwenyekiti wa vijana CDM John Heche ameutikisa mji wa Tunduma kwa kulakiwa na maelfu ya watu huku akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara.
Heche ameonyesha kushangazwa na mbio za mwenge nchini na kulaani matumizi mabaya ya kodi za wananchi.Heche ametoa mfano kwamba msafara wa mbio za mwenge unaweza kutumia milioni mia mbili kwenda Tunduma lakini ikazinduliwa miradi ya milioni nne.Hii ni sawa na uhujumu uchumi.Pia maelfu ya wananchi walijiunga na CDM,ambapo baadhi yao ni kutoka CCM na vyama vingine.
Source:ITV Habari.