Mawaziri wateuliwe kwa taaluma zao

armanisankara

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
283
49
KITENDO cha Rais kuteua mawaziri kuongoza wizara ambazo zinashughulika na masuala ambayo si taaluma walizozisomea, kimepingwa na wananchi ambao wametaka mawaziri hao wateuliwe katika wizara ambazo wana taaluma nazo.
 
Asante kwa maoni, subiri uyatoe basi kwenye tume ikifika mtaani wako
 
KITENDO cha Rais kuteua mawaziri kuongoza wizara ambazo zinashughulika na masuala ambayo si taaluma walizozisomea, kimepingwa na wananchi ambao wametaka mawaziri hao wateuliwe katika wizara ambazo wana taaluma nazo.
Not necessary kwenye wizara zote mawaziri lazima wawe wanataaluma hila zipo muhimu kama fedha, afya na sheria. Wizara zingine zinahitaji sanasana management skills and work experience at senior level hili kuziongoza.

Hila katibu mkuu wa wizara ni lazima awe na taaluma ya hiyo wizara kwa sababu ndio mtendaji mkuu, kwengineko duniani wizara zinakuwa na sections of think tanks ambazo zinamsaidia waziri/serikali kuangalia na kutafuta njia mbadala za kutafuta sera not to mention the political parties have their own independent think tanks to help. Hivyo management skills is more important kwa wenzetu of course it is helpful if the minister has some sort of knowledge on the ministry he oversees.

But then naongela siasa za nchi ambazo vyama vya siasa vina access ya think tanks at every-corner, kuna independent think tanks on most sectors from finance to farming to social problems: that is to say the ministry is never short of ideas and policies to copy therefore management skill is vital than the right qualification.
 
Back
Top Bottom