Mbunge Salome Mwambu (CCM) mahututi Muhimbili

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mbunge wa Iramba Mashariki-CCM-Salome Mwambu ni mgonjwa mahututi na amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi-ICU.

Msemaji wa MNH Aminiel Aligaesha amesema kimsingi hali ya mbunge huyo siyo nzuri.Amelazwa hospitalini hapo tangia Julai 21.

Mbunge huyo anasumbuliwa na kisukari na shinikizo la damu.

Source:
Nipashe Ijumaa.
 
Source:Nipashe Ijumaa.

Leo hali yk ikoje
 
Inasemekana wakimwahisha India anaweza asifike hata J.K.I Airport
 
wanacheza na MGANA MSINDAI bingwa wa miti shamba.Alimwondoa Mbunge wa zamani MGANA MSINDAI WATU WAKASHANGAA MAANA MSINDAI HADI MAPROFESA ALIOKUWA ANAGOMBEA NAO WALIKUWA WANAFARIKI MUDA MFUPI TU.SASA NAONA MSINDAI KAONGEZA UFUNDI ZAIDI.
 
Mbunge wa Iramba Mashariki-CCM-Salome Mwambu ni mgonjwa mahututi na amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi-ICU.

Msemaji wa MNH Aminiel Aligaesha amesema kimsingi hali ya mbunge huyo siyo nzuri.Amelazwa hospitalini hapo tangia Julai 21.

Mbunge huyo anasumbuliwa na kisukari na shinikizo la damu.

Source:
Nipashe Ijumaa.

Nilimsikia Mh. Anne Kilango akilalamika kuwa kuna Wabunge wanapita kwenye majimbo ya wenzao kuwachafua; vipi huyu naye ameathiriwa na "stress pass" wa M4C?
 
get well soon mp, uepushe taifa na gharama za kurudia uchaguzi na matusi ya chemba na lusinde
 
Back
Top Bottom