Hivi wabunge wetu wanajuwa kiingerza?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wabunge wetu wanajuwa kiingerza??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Aug 4, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Napenda japo tu nielezwe kama kweli wabunge wetu wanajuwa kiingerza au ni wavivu wa kusoma? ikumbukwe sheria ya marekeebisho ya hifadhi ya jamii ilipitishwa kwa mbwembwe mwezi aprill mwaka huu lakini hakuna mbunge yeyte wa ccm wala wa upinzani aliyeweza kugundua hilo au nalo lilichomekwa kama walivyofanya kwenye hseri YA GHARAMA ZA UCHAGUZI mwaka juzi, ni rais Slaa ndiye alikuja kugundua hilo, kwa maana hiyo hili bunge la sasa chini ya Spika, wabunge either hawasomi au hawajui kiingereza??
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu kuna wabunge wengi tu hawajui Kiingereza, lakini wapo ambao hata sheria za kiswahili hawasomi, wanakuwa bungeni kutimiza wajibu wa kuhudhuria na sio kufanya kazi ya kuangalia sheria na jinsi zinavyopitishwa.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  "Shukrani kwa nyerere alicheza utadhani pele kuendeleza kiswahili mikoani na mbelele tunamuendekeza mzungu wakati tuna shida tele kingeleza bila hela ni sawa na kupiga kelele"---Wakilisha

  Mdau kingeleza ni lugha tu kama lugha nyingine nenda china hawajui hata kingeleza,nenda japan hawajui hata kingeleza! Kutokujua lugha sio ujinga,ujinga ni kujifanya unajua wakati hujui
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kuhusu fao la kujitoa si kingereza bali ni kwamba hilo swala halijawekwa mule,kuna jembe kama mnyika anachambua kila kipengele asingeweza kukipitisha hicho kitu!
   
 5. N

  Nali JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 248
  Trophy Points: 60
  Ni kweli issue sio lugha bali ni uvivu wa kusoma maana pia karibia wale wabunge wote pale mjengoni ni Vilaza sana wakiongozwa na wapiga debe maarufu Akina OleSendeka!!! Tukipata japo wabunge 10 majembe kama Kamanda Mnyika basi Nchi hii itapiga hatua kibwa sana!!!!
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Siriii minitsi tu eksipulini yuasefu ...hahaaaa spika weee...spika mwenyewe hajui kiingereza ndo iwe wabunge
   
 7. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora leo umeshughulisha ubongo kuja na uzi wa maana, sio kila siku chadema chadema.!!
   
 8. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Qualification za kuwa mbunge hazihitaji ujue kiingereza...
   
 9. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,845
  Likes Received: 2,774
  Trophy Points: 280
  Ken ripit your kweshen sir? I dont andastend the kweshen bikoz yu are not streti! Huyu alikuwa mbunge wangu wakati anaomba kura za bunge la Afrika. sasa huyu muswada wa kisheria ataona ndani huyu? Chezea kingeleja wewe!! Ila mimi nina wasiwasi na hicho kipengele huenda kilichomekwa mbele ya safari! Maana majembe yetu yangekiona mapema! Ila na sisi wa-TZ tumezidi kwa uvivu wa kusoma, namwunga mkono che Nkapa!
   
 10. S

  Sessy Senior Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama wengi wao wanalala tu bungeni hata ingekuwa kwa kiswahili wasingeweza jua
   
 11. I

  Iramba Junior Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Jamani ukweli ni kwamba kipengele hicho cha fao la kujitoa hakikwepo wakati hiyo sheria inapitishwa wabunge wanasema imechomekwa wakati mkuu anataka kusign hiyo sheria
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Muulize Jah People, Prof? Maji Marefu, Asumpta Mshama na wengineo!
   
Loading...