Clinton, on Africa trip, visits Malawi

IWILL

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
346
120
USClinton, on Africa trip, visits Malawi

Hillary Rodham Clinton – Photo: AP

1479660,h=425,pd=1,mxw=620.jpg
Hillary Rodham Clinton – Photo: AP

LILONGWE, Malawi (AP) - U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton offered praise and pledged continued American support to the impoverished southern African nation of Malawi on Sunday, making a brief a stop here to visit with the country's first woman president, only the second female African head of state.
A longtime champion for women's empowerment, Clinton met Malawian President Joyce Banda in the capital of Lilongwe and encouraged her to stay on a course of economic reform to make the country more attractive to foreign investment.

mawazo yangu: Kama Tanzania wanadhani west countries ziko kwa ajili serikali dhaifu waangalie mara mbili. hapo USA wamerejesha mkopo uliokuwa umesitishwa kwa rais aliyefariki wenye thamani takribani ya US $230m. kwa tafasri hii tunaona huyu mama amekubalika katika nchi hisani na wakati huo huo IMF imetema millions US $ 157m.
huyu mama tangu apate hayo madaraka wala hajaenda safari kuomba misaada nchi za nje tofauti na rais wetu kila siku na njia kuomba misaada. sasa imefika mahali anaweza kwenda kuomba msaada Zimbabwe ili mradi kombe la ombomba lipite.
 
Hao waamerika wazushi washajua kuna mafuta malawi basi wanaanza kujipendekeza malawians kueni waangalifu hao wamarekani hakuna kitu wanataka tu kutumia mafuta kwa ajili yao wao wataleta makampuni ya mafuta kutoka marekani... Wanafiki wote hao
 
ishara ya wamarekani kuwa wako pamoja na wamalawi katika mgogoro wa gesi na mafuta lake Nyasa ambalo linakaliwa na Wanyasa kina Komba upande wa Tanzania na Wanyasa wa mzuzu na kwingineko Malawi pia - wamenyimwa nini huku - je uranium hawakuambulia huku? na uranium ya Malawi nani anaichimba kule - nayo iko Karonga (Ngerenge) jirani na Kyela upande wa Tanzania.
kama wamarekani wako kotekote huenda wakasaidia fujo isitokee na wakaingia kwa gea ya upatanishi ili waweze kula na vipofu kiulaini.
 
It doesnt matter hata Malawi wasapotiwe na Israel lakini wakivuka mpaka tutawatandika.
 
ishara ya wamarekani kuwa wako pamoja na wamalawi katika mgogoro wa gesi na mafuta lake Nyasa ambalo linakaliwa na Wanyasa kina Komba upande wa Tanzania na Wanyasa wa mzuzu na kwingineko Malawi pia - wamenyimwa nini huku - je uranium hawakuambulia huku? na uranium ya Malawi nani anaichimba kule - nayo iko Karonga (Ngerenge) jirani na Kyela upande wa Tanzania.
kama wamarekani wako kotekote huenda wakasaidia fujo isitokee na wakaingia kwa gea ya upatanishi ili waweze kula na vipofu kiulaini.

Hawana rafiki wa kudumu hawa wamerekani, sanasana wakikamilisha interest zao tu na urafiki unakwisha. na ndio wachonganishi wakubwa sana wa migogoro ya kivita.
 
Waziri Wa mambo ya Nje wa Marekani Bi Hilary Clinton ametua mjini Lilongwe Malawi jioni hii akitokea Kenya.

Bi Clinton atakuwa na maongezi na Rais Wa Nchi hiyo Bi Joyce Banda Na baadaye Kesho kuendelea na safari yake nchini Uturuki.

Binafsi nashtushwa na falsafa za USA kuwa "HATUNA ADUI WALA RAFIKI WA KUDUMU BALI RAFIKI WA MASLAHI TU"Hivyo inawezekana Marekani ndio wanaotafuta Gesi katika Ziwa Nyasa hivyo Nchi yetu ijiandae kikamilifu kukabiliana na hali yoyote.

Nawasilisha.
 
Aisee ... kuikwepa Tanzania na kuzungukia majirani wote hatimaye kutua kwa Bi Joyce Banda ... Ni harufu ya Mafuta ya Ziwa Nyasa ziwa la Mababu na Mababu wa Tanzania ... ndio inawata Wa Marekani kiwewe sio?

Be warned we know how to fix you ..and for sure we will fix all of YOU!!
 
hapa tz washaweka mirija yao, wanatafuta sehemu nyingine kabla ya chinese hawajafika.
 
If our leaders have turned to be great liers and thieves,what should so called great malawians leader do? ...let them try their chances to steal from us by themselves...
 
Hapa kwe2 yule mama si ameshafka na kusimika mrija wa symbion a.k.a dowans a.k.a richmond so wanataka waende kupata kuweka mrija huku kwenye haruf ya mafta na gesi
 
issue si kwamba hatupo reliable, hatuaminiki kwa tusemalo, tutendalo na wala report zetu.Sasa nani ata invest programm y amiak 50 katika nchi ambayo haijui hata kama ni ya kijamaa, kibepari, isiyofungamana na nchi yoyote.Hiyo ni red light.Kama tunajifanya tunakomaa sana na wairani na wachina kwa style ya kujisahau.Usishangae gemu na malawi likawa gumu haswa na baadaye mbeya ikaingia kwao.Tena wale wanyasa walishaingia long time.Wakati akina comrade Membe wakipursue mazungumzo.Komba aliwahi lalamika bila kujua mwanajesh wetu kuwa upande wa malazi Ziwa limendeendelwa sana kuliko kwetu.Sasa ngoja report nyingine zidai kuwa zaidi ya nusu wa raia wana ndugu malawi.Halafu affiliation yao ni kule.Tukijifanya waua tunakutana na yale Bosnia.Sijui ni budget au intelligensia ilikuwa imelala.
 
na zaidi ya hapo utaifa umekwisha. viongozi wanaiba mali ya umma kama sio Watanzania vile.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom