Malawi and Tanzania representatives are scheduled to meet in Mzuzu on August 20 2012 ;
Malawi wana hoja 3 za msingi.
.1. Anglo-Germany treaty 1890 Boundary inayoonesha Tanganyika mpk hupo...
Serikali (Raisi) na mahakama ni maswahiba na mahakama imekuwa ikitii maelekezo yote yawe sahihi au batili kutoka serikalini! rejea kessi ya Arusha mjini, rejea kesi ya Segerea, rejea mgogoro wa...
Ninalazimika kutumia majina manne ya Waziri Mkuu, Mizengo Peter Kayanza Pinda kuonyesha heshima kubwa kwake, na bila shaka anapaswa kuipokea.
Sitaki aipokee kwa kuitikia ‘naam', la hasha...
Baadhi ya wagonjwa wa saratani waliolazwa katika hospitali ya Ocean road jijini Dar es salaam wamelalamikia ukosefu wa vifaa vya matibabu katika hospitali hiyo huku wakiitaka serikali kufanya...
Wana JF ninapatwa na kigugumizi, hukumu ya kesi ya uchaguzi IGUNGA iliyopangwa tarehe 20 August 2012, mbona tarehe hiyo itakuwa siku ya IDD? au vipi mimi nilinukuu visivyo? Anayeelewa anijuze na...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiwasili kwenye Uwanja wa Kwa Mbombe katika kijiji cha Madizini...
mwenyekiti wa bodi ya usamamizi wa hospitali ya rufaa KCMC Dr alex malasusa amekiri hospitali hiyo kuathiriwa na mgomo wa madaktari.
Huduma kwa wagonjwa hasa wale wa nje imeathirika zaidi na hili...
CHAMA cha Demokrasia na Maendendeleo (Chadema), kimevunja mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Elius Tarimo baada ya mikutano hiyo kugongana, huku wa mkuu wa wilaya ukilazimika kuvunjika...
Ni lini Uganda italipa fidia ya vita vya Kagera pamoja na mahusiano mabaya kati ya Tanzania na Uganda kwenye miaka ya mwanzoni ya 70 hasa baada ya Tanzania kuamua kumpa hifadhi ya kisiasa rais...
By Nyasa Times Reporter
August 18, 2012 · 4 Comments
Tanzanian President Jakaya Kikwete has categorically denied reports that his country is preparing to go to war with its neighbour...
katika watu wanaoendelea kusaini petition, watanzania ni wachache ama hakuna.
Watanzania tupo kimya kabisa, waoga, sijui kwa nini
uoga wetu ndo unaompa Mr. Dhaifu ujasiri.
Ofcourse Mr Dhaifu...
Nimeshindwa kuelewa kelele na mbwembwe za muasisi mahsusi wa adc mbunge wa wai kupitia mahakama mh.hamad rashid zimeishia wapi kwani kwa sasa simsikii tena akiitaja adc wala akijaribu kuwasaodoa...
Mh. Seleman Zedi ambaye ameiongoza kamati ya kudumu ya Nishati na madini, alipewa mbuzi ndani ya gunia na mwenyekiti aliyepita (Siwezi kutaja jina kwa maana inasemekana ana hisa kwenye hii forum...
Tafakari kwa kina suala hli,
Maendeleo ktk nchi yoyote ile hujengwa ktk misingi mikuu minne.
(1) Watu (2) Aridhi (3) Siasa safi (4) Uongozi bora
Sasa kwa nini nchi nyingi hazina uchumi madhubuti...
Na Ashton Balaigwa
20th August 2012
Wananchi wa kata ya Hembeti Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, juzi walizua kizazaa baada kuzuia gari la Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Zanzibar President, Dr Ali Mohamed Shein
Zanzibar President Dr Ali Mohamed Shein yesterday warned Islamic Revival Forum Uamsho against breach of the peace and tranquility, saying the...
JUMATATU, AGOSTI 20, 2012 07:45 NA BAKARI KIMWANGA, DAR ES SALAAM
*Awataka wapuuze ghiliba hizo
*Asisitiza Sensa si ya dini bali maendeleo
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka...