Tanzania's Govt warns on 'Confidential documents'

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
The government of United Republic of Tanzania has warned all media and citizens who have a tendency of revealing government documents stamped Confidential.

Mizengo-Pinda.jpg

Tanzania's Prime Minister, Mizengo Pinda who has insisted on the government decision to take action upon all media and citizens who will be caught with confidential materials.

The government has said all media and citizens who will fall under police hands with ‘confidential materials' will face consequences.

"I want to warn our fellow media practitioners, you Mr MP and other citizens that once you are caught with confidential documents legal actions will be taken upon you." said the Prime Minister, Mizengo Pinda today morning.

The Prime Minister, Pinda was responding to CCM Tabora Urban legislator, Ismail Aden Rage who asked for the government stand on the tendency of different media to use documents with confidential stamp in their stories.

"I would like to know if these media are allowed and if me as the MP, I have any protection in revealing these confidential materials!"

The PM said always documents stamped confidential needs high protection because are important for the government's plans and implementations of development goals.
 
"...............mplementation of developing goals" sasa kama ndivo kuna tatizo gani wananchi wakazipata ikiwa docs conf zenyewe ni kwa maendeleo yao? uhuni mtupu hapa hakuna lolote
 
hivi nani wa kulaumiwa? masjala ya siri yapo tena siku hizi? na je kuna sababu ya kuwa nayo iwapo wale waliopo hawajui miiko ya kazi zao?

wewe mtu recods magogoni umepata kwa njia za panya baadae kisa ulitoa uroda kwa lekchara wako akakupigia pande wizarani kwa kuona umuhim wako akaongea na bosi wako vzr ili upewe sekta nyeti haya wataka kuniambia hapo pana kitu kweli?
 
In any Govt there are top secrets / confidential documents with information such national security interests…

If a citizen of URT get access to dubious contracts, agreements, plans that few people decided to commit on behalf of URT..he/she with love of his country should put them into public for citizens to know what is going on..

This is like stopping media and other whistleblowers not to expose further this corrupt government, we need to know people with Swiss accounts with stolen money from URT taxpayers..this is not Govt confidential document, even the recent issue of Dr. Uli, those who provided the numbers of callers yes they went beyond confidentiality of their clients information but for the sake of investigation to know who was behind it was ok (this should be police work to request information from telephone companies but they are also accused who else neutral will do this if not through other means).

GOVERNMENT'S PLANS AND IMPLEMENTATIONS OF DEVELOPMENT GOALS….. THERE IS NO CONFIDENTIALITY HERE; IT IS FOR THE INTEREST OF TANZANIANS……. GIVING MTWARA PORT, GETTING INTO STRANGE CONTRACTS WITH POWER GENERATIONS COMPANIES, MINING COMPANIES IS FOR DEVELOPMENTAL GOALS AND WE ALL WANT TO BE INVOLVED INCLUDING PARLIMENTARIANS TO DECIDE WHICH ROUTE WE SHOULD TAKE.

For election tricks of stealing votes, bribes going on as usual put them confidential and run this country forever but don't make us stupid confidential documents for government's plans and implementations of development goals
 
'stupid decisions stamped confidential'
majalada ya namna hii ni lazima yawekwe hadharani!
 
mara nyingi nyaraka chafu zenye maslahi ya watu binafsi ndio huwa zinavuja na zikishavuja mipango ya kiovu huwa inavurugika na kuisukuma serikali kuchukua hatua/kujirekebisha.

binafsi naona faida ni nyingi sana iwapo nyara chafu zitavuja
 
The PM said always documents stamped confidential needs high protection because areimportant for the government's plans and implementations of development goals.

Do such documents need be classified? Ni sahihi serikali kuwa na classified documents lakini access to such documents must be restricted by LAW or REGULATION, not just a CONFIDENTIAL STAMP.

Ni muhimu hili likawekwa wazi ili watanzania wasije wakawa victims kutokana tu na kukutwa na documents zenye STAMP lakini hazina restrictions kwenda kwenye umma kwa LAW au REGULATION inayoeleweka.
 
Sasa kama wao ndio wanashndwa kuprotect hizo confidential docs inabidi wenyewe ndio wawe liable na sio kuanza vitisho kwa media. Kwanza serikali ni watu, watu ndio sisi so tunahitaji kujua each & everythng abt gvt.
 
Kama documents zenyewe ndio zile za wizi, uhujumu uchumi, ufisadi, rushwa na mambo yanayofanana na hayo basi wacha ziendelee kuvuja. Kwani kwa kufanya hivyo wananchi tunapata nafasi ya kujua madudu ya serikali.
 
Muheshimiwa PM nyaraka za siri zinapobeba maslahi ya kundi flani la mafisadi na kwa bahati njema zikaangukia kwenye mikono ya mzalendo lazima tu zianikwe hakuna njia na huo mkwara wako hautakuwa na maana.

Siri kufaidisha genge la mafisadi si siai siri, kinyume chake huko mbele tuendako zitatumika kuwahukumu hao wanaojidai kutunza siri lakini kwa maslahi yao.
 
Kwa nachofahamu sheria iliyopo inasema anything can be stated confidential kama kiongozi wa juu ataona hivyo. Huu ni upuuzi mfano mzuri ni wizi wa EPA by Deep green,etc eti inahusisha ununuzi vifaa vya jeshi so lisizungumzwe uongo mtupu. Kwa kuwa hukumu sio kubwa tunakwenda jela hizo 2 years kwa kugoma kutoa maelezo ila uozo umeanikwa. Jipange mkubwa
 
Document yenye kuhujumu uchumi hataka kama ni classified...the game is fair kabisa.Hatutaki kuclassifiy ufisadi,so if this is the way to declassify it(ufisadi),then let it be kwa maslahi ya ukweli ya Taifa.
 
Do such documents need be classified? Ni sahihi serikali kuwa na classified documents lakini access to such documents must be restricted by LAW or REGULATION, not just a CONFIDENTIAL STAMP.

Ni muhimu hili likawekwa wazi ili watanzania wasije wakawa victims kutokana tu na kukutwa na documents zenye STAMP lakini hazina restrictions kwenda kwenye umma kwa LAW au REGULATION inayoeleweka.
tatizo kubwa linalonishangaza na kauli ya Pinda hizo documents ambazo zinazungumziwa ni zile zinazohusiana na UFISADI maana ndiko hoja ilikoanzia..Mimi nashindwa kuelewa kabisa matumizi ya hili neno Confidential kwa serikali yetu ikiwa ni maamuzi na kazi ya mtu mmoja na sio inayohusu Usalama wa taifa.
 
Do such documents need be classified? Ni sahihi serikali kuwa na classified documents lakini access to such documents must be restricted by LAW or REGULATION, not just a CONFIDENTIAL STAMP.

Ni muhimu hili likawekwa wazi ili watanzania wasije wakawa victims kutokana tu na kukutwa na documents zenye STAMP lakini hazina restrictions kwenda kwenye umma kwa LAW au REGULATION inayoeleweka.
Nullum Crimen Sine Lege
 
Back
Top Bottom