Mkurugenzi wanyamapori afukuzwa kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi wanyamapori afukuzwa kazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwitongo, Aug 13, 2012.

 1. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Obeid Mbangwa, amefukuzwa kazi. Wengine ni Frank Mlemi na Simon Wella. Kosa lao ni la kujihusisha na ufisadi usafirishaji wanyamapori nje ya nchi. Kufukuzwa kwao kumetengazwa asubuhi hii na Waziri Kagasheki, Dodoma
   

  Attached Files:

 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,940
  Likes Received: 876
  Trophy Points: 280
  Amefukuzwa tu? Hakuna kosa la jinai hapo?
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  sasa tunasubiri aburuzwe mahakamani kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake
   
 4. mito

  mito JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 6,994
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa walifanya madudu ya hatari idara ya wanyamapori
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Anaenda kufukuziwa bungeni? Amesimamishwa kazi ama amefukuzwa? Manake kuna tofauti hapo!
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hongera Kagasheki, kazi nzuri.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Taratibu zingine zitafuata baadaye.
   
 8. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  AMEFUKUZWA! Hii ina maana hana chake tena. Taratibu za kuwafikisha mahakamani mafisadi hao zinaendelea
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,945
  Trophy Points: 280
  Mimi nataka anifundishe kupakia Twiga kwenye ndege
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kishwahili kigumu nini? au wewe mnyasa? Wamerudia saa saba mchana TBC1 amefukkuzwa na wenzanke wawili.
   
 11. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,877
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Hivi unafikiri huyo Obeid ana nguvu/mamlaka gani? Kuruhusu DEGE LA KIJESHI kuingia nchini na kuondoka bila vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi kujua?!! Kama ni ufisadi wa kutorosha wanyama nje ya nchi, I bet my neck Obeid ametolewa kama mbuzi wa kafara. Haiwezekani KAMWE ndege ya kijeshi kuingia katika anga letu bila CDF kujua au Commander in Chief of the armed forces kujua.
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,226
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mafunzo yake magumu sana, ni lazima uwe mvumilivu. Uko tayari?
   
 13. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Inawezekana aliwekewa kiti, mbona kina Thabeet na wekzake wa NBA wanaketi ndani ya ndege?
   
 14. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,723
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  asigeuke Prof Mahalu tu....maana Tanzania bila wala rushwa inawezekana teh teh teh
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,631
  Likes Received: 1,661
  Trophy Points: 280
  Sinema au mazingaombwe?
   
 16. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Jamani, juyo jamaa ana uwezo wa kuruhusu Ndege za kupakia twiga zitue KIA?
  Huyo jamaa sio Mbuzi wa kafara kama bwana Mhando?
  Nani ana uwezo wa kuruhusu ndege za nchi nyingine kutua nchini, na kuondoka na Twiga?
  Bwana Kagasheki, unasema kweli???
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,908
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Hapo tuna msitiri kidogo si unajua mwenzetu huyu jamani!!!!
   
 18. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Safi sana Balozi Kagasheki ingawa uamuzi umekuja umechelewa kusanya ushahidi uwapeleke mahakamani hamna kucheka na wezi wa rasilimali zetu.
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,070
  Trophy Points: 280
  Mmmmh wafukuzane na wenyewe pia huko bungeni
   
 20. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mahalu ilikuwa ni kagali tu ya prosecutors wazembe wa Kitanzania, hasa wale wa TAKUKURU.. there goes for Zombe and others...
   
Loading...