Spika Makinda unauonea upinzania wazi wazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika Makinda unauonea upinzania wazi wazi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHUAKACHARA, Aug 16, 2012.

 1. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Leo katika hoja ya airtime za makampuni ya simu kuongeza ushuru, waliounga mkono hoja ya upinzani ya kupunguza ushuru mpaka 10% walishinda. Zito akaomba kura zihesabiwe, makinda akakataa kitu kilicho wazi. Makinda historia itakuhukumu!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wapunguze na paye bwana not only simu maana huko kuna option kama gharama kubwa unaacha lkn kwenye paye rungu linapita juu kwa juu no options!
   
 3. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,956
  Likes Received: 6,719
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli huyu mama spika Makinda hayupo fair hata kidogo, hata mimi nimesikia kwa masikio yangu, wabunge waliosema hapana walikuwa wengi kuliko wa ndio, lakini huyo mama, akapitisha kifungu hicho kwa mabavu, lakini mimi sikushangaa, huyo mama uspika kawekwa na Rostam, ambaye ndiye mwenye hisa nyingi kwenye Vodacom, kwa hiyo yeye hajali mateso watayopata wa-TZ kwa kuongezewa gharama za airtime, yeye amekalia hicho kiti kwa kazi moja tu ya kumtumikia kafiri [akina Rostam] ili apate mradi wake!! Hadi huyo mama atakapouachia huo uspika 2015, wa-TZ wanyonge tutarajie maumivu makali sana ya maisha, yataendelea kutupata!!
   
 4. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawa viongozi wetu ni Dhaifu wote kabisa. Uchungu utokanao na ukali wa maisha unawaneemesha wao hivyo sisi tulie tu isipokuwa tujifunze ili hiyo 2015 tuwakalishe kwa kutumia makalio yao wenyewe.
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Huyu mama anaendesha bunge kama NGO yake.
   
 6. M

  Malova JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Anafikiri saccos ya Njombe Kusini?
   
 7. w

  wade kibadu Senior Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa nchi hii hawaogopi historia.kumbuken viongozi ninyi historia itatesa vizazi vyenu?
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  CHUAKACHARA, ukitafakari kwa makini sana utagundua kuwa Spika Makinda haonei upinzani, ila anachofanya ni kuuwa CCM. Anatumia nguvu kubwa sana kumilikisha (give ownership) CCM hoja zote zenye utata mbele ya watanzania. Matekeo yake ni kwamba wabunge wote wa CCM wataondoka Dodoma na gunia la misumari.

  Kupitishwa kwa bajeti mbaya kwa njia za ujanja ujanja na ubabe kunawapa upinzani mtaji mkubwa kisiasa wa kuitangaza vibaya bejeti ya serikali ya CCM. Madhara ya ubabe wa Spika Makinda yataanza kuonekana siku si nyingi maana wabunge wamepitisha bajeti mbovu sana. Nawapa pole wabunge wa CCM maana mbele ni giza tupu.
   
 9. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Very true mkuu, hii nchi tnanyongwa mpaka basi, japo ukitaka kutawala vizur wafanye wananchi wako mafukakara pia wajinga zaid, sera ya CCM iyo
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Madhara ya ubabe wa Spika Makinda yataanza kuonekana siku si nyingi maana wabunge wamepitisha bajeti mbovu sana. Nawapa pole wabunge wa CCM maana mbele ni giza tupu.[/QUOTE]

  Safi sana pia hongera Supika Anna makinda, unatusaidia kuigaragaza CCM yako
   
 11. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  kwa madudu aya watu wa njombe wametubu kwa mola wao kwa kosa la kihistoria walofanya la kumpa ubunge in return ya ufukara unaowatafuna
   
 12. Rogate

  Rogate JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanyonge ndio wakuonewa mbabe haulizwi! Tafuta wako mkandamize au kausha.
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Yana mwisho hayo!
   
 14. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  kaburu ni kaburu tu hata kama ni mweusi- Nyerere
   
 15. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kweli mkuu ni suala la mda tu
   
 16. a

  andrews JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​laana ya kukosa mume inamsumbua
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nikikutana nae somewhere nampasulia ukweli tu!
   
Loading...