MAHAKIMU nao njiani KUGOMA... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MAHAKIMU nao njiani KUGOMA...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Aug 14, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Wale Mahakimu Wakaazi 300 walioajiriwa na Serikali mnamo mwezi wa sita na kusambazwa mikoani wako njiani kugoma.Taarifa nilizozipata zinaonesha kuwa Mahakimu hao,tangu kuajiriwa kwao hawajalipwa mshahara wowote au hata fedha za kujikimu. Taarifa zinaonesha kuwa hali zao sasa ni mbaya na wanateseka vya kutosha.

  Kwakuwa wote wanajuana vyema,Mahakimu hao Wakaazi ambao wamepelekwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama za Mwanzo wamepanga kugoma ili kudai maslahi yao kwa Serikali 'sikivu'. Ifahamike kuwa Mahakimu wakaazi ni wale wenye elimu ya ngazi ya Shahada na kuendelea na hawakuwahi kuwepo katika Mahakama za Mwanzo.Kupelekwa kwao,kutaruhusu Mawakili Wasomi kujitokeza Mahakama za Mwanzo.

  Wanasema 'liwalo na liwe'....
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Liwalo na liwe... acha wagome, serikali itakwenda mahakamani
   
 3. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Samahan naomb kuuliza mwnye kujua anijuze,hiv hakimu wa mahakama ya mwanzo na hakimu mkazi mishahara yao inakuaje!?nsijekujuta uko mbele ya safari.
   
 4. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kikweteeeeeee punguza safari nchi inayumba
   
 5. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Nchi ya kiti kidoooooooooooooogo........
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  kwani siwanafanya kazi ya kusikiliza kesi huko mahakamani kila siku?? Sasa kwanini wanashindwa kuwa na pesa au wanashindwa kuongea vizuri na wateja wao(waalifu) ?? Wanaishia kuwatupa lumande na huku wao wanakufa na njaa vunjeni ukimya mahakimu? Ongeeni vizuri na wateja wenu ili life lisonge. Kila mmoja atakula kulingana na urefu wa kamba yake
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Heeee! Mahakimu tena? si wamepandishiwa mishahara na marupu rupu kibao hao?
   
 8. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mila, tamaduni na kanuni za mahakama na mahakimu/majaji sidhani kama zinaruhusu hili, ndio maana wanaitwa waheshimiwa bila kupigiwa kura
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ni vigumu sana kuwa mazingira ya kutoa haki wakati hakama na mahakimu hawalipwi ipasavyo. Kama mahakimu hawalipwi ni rahisi kupokea rushwa tena rushwa ya chini kabisa maana hana hata hela ya kujikimu!
   
 10. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  una utani na pinda wewe!!!!!!!!!!!

  Mahakimu hawawezi kugoma, kwani hakimu kugoma ni sawa na wafanyakazi wa mizani tanroads au traffic police au wahasibu kugoma. Hawa watu hata siku moja huwa hawasikii njaa.
   
 11. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Liwalo na Liwe!
  Riwaya hii itamtesa sana Rais Kikwete!
  Riwaya yenye adabrakadabra na udhaifu wa kutosha
  Riwaya ya kustaajabisha! Serikali isiyolipa mishahara!
  Serikali sikivu! Serikali ya Chama cha Mapinduzi!
  Serikali ya Nahau na mitaala ya kuzimu!
  Serikali 'Legelege' inayoendesha mambo yake 'Hovyohovyo' chini ya Rais 'Dhaifu' wa chama 'Kipuuzi' cha CCM!.
  Tanzania kwa kawaida bajeti ya wizara ya sheria ka katiba kuna Kasma ya Mishahara.. Kasma hii hutengewa fedha zote za mishahara ya wafanyakazi wote walio kwenye idara hii.. Kasma hiyo huwa inafanya kazi gani nyingine tofauti ya ile iliyoamuliwa na Bunge?. Serikali! Serikali! Serikali!
  Serikali! Serikali!
  Serikali!
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sasa serikali ikipeleka kesi mahakaman kupinga mgomo wa mahakimu,nani atasikiliza kesi ya awali?
   
 13. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  CHADEMA tena??
   
 14. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mkuu kingkong.

  Magogoni si huwa ndio tunasema wanatoa hukumu? Watasema "Mgomo wa mahakimu wa mahakama ni batili na hata kesi iliyoopo mahakamani pia ni batili kwa hiyo ikulu kama muajiri mkuu ina waamuru mahakimu waache kutumiwa na chadema na waendele kuhukumu kesi nyingine kwa weledi na kufuata misingi ya haki"
   
 15. phina

  phina JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sijui lini tutafika..??
   
 16. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mhhh!.. Kweli ww ni Kiherehere nimekubali!.
   
 17. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  watuhumiwa kazi ipo kama nawaona mahakimu vijana watakuwa wanakula mpaka buku......dah bora mngewaacha majumbani kwao waendelee na msoto kuliko kuwapeleka mahali wakawe OMBA OMBA.....
   
 18. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  CDM watakuwa nyuma ya mgomo huu!
   
 19. HASSAN SHEN

  HASSAN SHEN JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lawyers do not believe in mgomo but arguments.
   
 20. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mahakimu hawaruhusiwi kugoma kisheria.
  labda hawa wapya hawajui ethics zao
  hela watapelekewa fungu lao limeshatengwa.
  waliendaje kwenye vituo vya kazi bila fedha za kujikimu na usafiri? inatia shaka.
   
Loading...