Eliakim Mollel
Member
- Nov 16, 2011
- 9
- 2
Leo ni siku ya mwisho ya mkataba wa uchimbaji madini kwa kampuni hii, je vigogo wenye mirija katika kampuni hii watakuwa radhi kuachia sheria mpya ya madini ya vito ifanye kazi?
Hofu yangu ni juu ya mikakati inayofanywa ya kuibatiza Tanzanite One kuwa Reachland Resourses, Hiki ni kipimo kwa waziri mwenye dhamana kwasababu sheria haitoi leseni kwa wageni ni matarajio ya Wengi kuwa kitalu hicho kitolewe kwa wachimbaji wadogo, Kama ilivyoshauri kamati ya Zitto, na sio imilikiwe na serikali Kama alivyojipnga Zotto juzi katika maelezo Yake.