Mtu anaekimbilia Ikulu kufanya biashara hatufai kabisa;-- Mwl Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtu anaekimbilia Ikulu kufanya biashara hatufai kabisa;-- Mwl Nyerere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Oct 14, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu laiti kama huyu baba angeamshwa na kukaa dniani siku mbili hakika angeomba arudi tena kuzimu....,nimemsikia akiongea hili nilihuzunika sana kwa kumbuka mkapa alivyoweka ofisi ikulu akaachwa na hawa ma fisi ladys nao wanakuja na NGO wiki bada ya kuchaguliwa ...wakifanya biashara zao...eee mungu mama MARIA NYERERE jamani mbona atukumsikia na NGO miaka yote...akuwa na njaa ????bado nahuzunika sana jinsi ikulu inabvyotumika jamani;;le hii watoto wa mjini wanaingia kama ****** pale ikulu...kunanii ikulu ssi sehemu ya biashara...mi nafikiri nimekaa sana kuliko vongozi wote pale ...ikulu...ogopa sana mtu anaefikiria kufanya biashara IKULU...MWOGOPENI KAMA UKOMA....BABA WA TAIFA NYERERE LEO HII BABA WATU BADALA YA KUHUZUNIKA WANASHEREKEA KIFO CHAKO...WAPO WENGI KAMA WAKINA MKAPA WAKIGONGA GLASS NA KUJIULIZA KWA NINI ULUICHELEWA KUFIKA UKO ULIPO.....ONA BABA YULE FISADI ULIEMTOLEA LIVE EDWRDO LOWASSA BABA NDIO AMEKUJA KUWA WAZIRI MKUU WETU KABLA YA MANENO YAKO HAYAJAITIMILIZWA KWA KUMWONDOA MADARAKANI NA ULAFI...BABA JK ANATUMALIZA BABA LAITI UNGERUDI DUNIANI HAKIKA TUNGEOMBA TURUDI NA WEWE BABA.....

  BABA WAKATI UKIKEMEA RUSHWA NA KUHUJUMU UCHUMI LEO HII WATANZANIA WAMEKUJA NA EPA,MEREMETA ,TANGGOLD,NA RWICHMOND NA NYINGINEZO NYINGI TU BABA...EE MUNGU UTUREHEMU..BABA NAKUKUMBUKA ULIMWASHA WAZIRI BAKORA KUMINAMBILI KWENDA NA KUMINAMBILI AKITOKA AKAMWONYESHE MKEWE KWA RUSHWA LEO HII BABA FISADI MRAMBA,FISADII CHENGE ANDREW,FISADI YONA ,KAPAPA KADOGO GONJA WANAKUJA MAHAKAMANI NA VOG,VX,HAMMER KAMA WANATARAJIA KWENDA KWAKO IKULU KIPINDI HICHO...INASIKITISHA SANA...

  BABA LEO HII KIFO CHAKO WATU WANAFURAHIA MAFUNGU YANATOKA KWENYE MASHIRIKA KWA AJILI YA MAAZIMISHO YYAKO BABA YANAISHIA MIFUKONI MWA WATU....

  MUNGU AKUREHEMU BABA UKO ULIKO.......
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hii ilikuwa ni hotuba nzuri sana na yenye hisia kali kutoka kwa Mwl J.K
  Mie bado nashangaa sana hivi ikulu kuna nn huko mpaka watu wana gombea kuingia huko ??
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  First lady 1 mi naona tuanze na sie resi za kwenda huko hii biashara ya kuwaandika hawa watu kila siku awabadiliki ...mmmmh
  tuanze resi mama .....hakuna haata mmoja anaesikiliza hizi hotuba maana zinawachoma mpaka ****** or mioyoni mwao...lazima wahukumiwe na unafiki wao
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  PDiddy,Wengine tuna machozi ya Jirani bana...acha kutuliza!Umewaza nini hadi ukabandika maneno yenye mchomo hivyo?Mi siwez kuendelea tena kuandika hata herufi moja...inauma saana! lol!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  nadhani tuanze kuweka mikakati upya ..kuna watu wana roho ngumu kama panga la shaba utakuta anasikiliza hotuba huku anatabasamu kumbe inapita sikio moja inatokea la pili mwenzio anwaza ufisadi
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  PDiddy,Wengine tuna machozi ya Jirani bana...acha kutuliza!Umewaza nini hadi ukabandika maneno yenye mchomo hivyo?Mi siwez kuendelea tena kuandika hata herufi moja...inauma saana! lol!
  __________________
  MKUU CAT JIMMY

  NIMESMIKILIZA HUYU BABU JANA JUZI NA LEO...KIBAYA ZAIDI WANAONYESHA LIVE KWENYE TV KILA FISADI ANAYAONA HAYA...KILICHONIUMIZA ZAIDI NI STSTEMENT MOJA JAMANI KULITOKEA FISADI MMOJA ENZI ZA MZEE KUMRADHI KAMA ANA UHUSIANO NYERERE AKASEMA MI WAHUJUMU UCHUMI SIWAACHI KABLA YAKUFIKA KWA ....LAZIMA NIWAPE ADHABU...AKASEMA ALIPEWA BAKORA 12 KUINGIA 12 ZA KUTOKEA AKAMWONYESHE MKEWE NA NYUMBA NDOGO YAKE..JAMANI LEO HII KWA HUZUNI KUBWA WAHUJUMU UCHUMI WANAENDA KISUTU NA VOG.LEXAS,RANGE, KYERUUUUUUUUUUUU KWA HILI RAIS HATUNA KABISA..YULE WALE MABWANA NDIO KWANZA WANAANZA KUGAWA URITHI INCASE OF EMERGENCY WAKATI WALITAKIWA WAWEKWE NDANI;NDUGU WAGAWANE WAKITOKA WANAKUTA KITOCHI ANA GOROFA.SENGODO ANA HOTEL..NA ILE KIBO PALACE WANAIKUTA BRAVO PALACE..MUNGU HAKUNA AMBAE ANGEWAFWATA UJINGA WAO......WEKA NDANI WOTE TENA KAMA MRAMBA ;YONA UNAWACHAPA WAKIWA NA SKINTYT...KABISA

  HAKIKA MMMMMHHHHHHH;

  FIRST LADY TUANZE MCHAKATO NATUMAINI NAO WALIJIPANGA TUKIWA KITU KIMOJA AWATUWEZI
   
 7. s

  siha tanganyika Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyerere alipo sema Ikulu ni mahala patakatifu alimaanisha Uwazi Uwajibikaji na Demokrasia ya kweli ila kwa sasa ikulu imegeuka mahali kwa pakupanga mikakati ya kuwaibia watanzania ILA UKWELI UTAJULIKANA SIKU MOJA NA HAKIKA WATAJUTA KUWA RAIA WA TAIFA HILI MASIKI NA TAJIRI KWA RESILIMALI
   
 8. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mgonjwa wetu wa kuanguka, siku ya kupack mizigo yake apiishe wengine pale, anaweza kuanguka kama ilivyo ada! nashauri dr.wake awepo karibu siku ya kuondoka magogoni for good!
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,203
  Trophy Points: 280
  Mwalimu aliyaona haya mapema sana na wote waliofuatia baada yake Mwinyi, Mkapa, Kikwete wameichafua Ikulu na kwa kuigeuza mahali pa kufanyia ufisadi wao.
   
Loading...