Kikwete kuondolewa uenyekiti CCM

Status
Not open for further replies.

Kada Deya

Senior Member
Nov 8, 2011
152
47
Mpango kabambe wa kumvua kikwete kofia ya chama umeiva, mpango huu unaongozwa na vijana. Wana CCM tegemeeni mabadiliko makubwa
 
Never, ever! Kama Kikwete angefanikiwa kuwavua magamba wenzake hilo lingefanikiwa, wanachofanya CCM ni "You scratch my back, I will scratch yours".
 
DSC04269.JPG
 
Mpango kabambe wa kumvua kikwete kofia ya chama umeiva, mpango huu unaongozwa na vijana. Wana CCM tegemeeni mabadiliko makubwa
hata wakivuana wooote nyadhifa hadi selikalini ccm hakuna mwenye akili hata 1 angalia walivo feli kutatua mgogoro wa mgomo wa madaktari hii wiki ya 3 sasa hawajui hata wafanye nini, hivi kama ungekuwa ni uvamizi wa mipaka taifa lingekuwa mateka? Kikwete mwenyewe karudi badala ya kutatua tatiza yuko bize na kufungua benki. Ovyo kabisa
 
Mpango kabambe wa kumvua kikwete kofia ya chama umeiva, mpango huu unaongozwa na vijana. Wana CCM tegemeeni mabadiliko makubwa

Naomba asiondolewe ili ccm ife kabisa tuizike maana tumechoka nayo kabisa
 
hata Urais mlisema ataondolewa mwaka 2010 tumewazoea na pia mmtuambia hatamaliza kipindi chake cha pili. Ni mpango wa Mungu kutupa binadamu ndoto za kiwendawazimu.
 
Mpango kabambe wa kumvua kikwete kofia ya chama umeiva, mpango huu unaongozwa na vijana. Wana CCM tegemeeni mabadiliko makubwa
mpango huu uliwahi kuandikwa na gazeti la udaku la mwanahalisi.... nahisi huu ni mwendelezo wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom