Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nionavyo mimi ile misingi ya maadili ya viongozi na wananchi kwa jumla ilipobomolewa na Ally H. Mwinyi pale Zanzibar mwaka 1990. Kuanzia hapo Mwinyi akaanza kuuza mali zetu kwa waarabu. Akauza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
John Pombe Magufuli,Anna Tibaijuka,Zito Zubdri Kabwe,Andrew Chenge,Bernad Membe,Edward Ngoyai Lowasa,Mizengo Kayanza Peter Pinda,Dr Wilbrod Peter Slaa,Fredirick Sumae,Freeman Aikaeli Mbowe,Anna...
2 Reactions
90 Replies
11K Views
WanaJF ambao ni wapenzi na wakereketwa wa CDM,pia kwa wanachama na viongozi kwa ujumla naomba kutoa angalizo mapema ili liwezekufanyiwa kazi mapema zaidi hasa katika katiba mpya pamoja na tume ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wote mnaoweza kuufikisha ujumbe huu kwa Katibu Mkuu Mh DR. SLAA, kulingana na tukio la jana mjini hapa, kuna propaganda nzito sana ilikuwa inajengwa na makada viongozi na wabunge wa CCM...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari za kutoka hapa Kyela ni kwamba dr. Mwakyembe leo kamvaa Rostam kweli kweli. Kamwita fisadi namba moja, kaiba mali ya Tanzania na ni mbumbumbu, hajui kitu, hata bungeni haongei. Anasema...
0 Reactions
295 Replies
34K Views
WanaJF, nimeona vema nitumie jukwaa hili kuwaomba wenzetu waliopo kwenye sekta ya magazeti wapeleke rambi rambi morogoro kwani kijana aliyeuwawa kwa kutupiwa bomu la machozi alikuwa anauza...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
MKUTANO WA CHADEMA READING TAWI LA UK Mkutano utafanyika siku ya Tarehe 26/08/2012 kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi na mbili jioni, siku ya Bank Holiday. .Risc Reading International...
2 Reactions
119 Replies
10K Views
Wana JF, Napenda kuja na hoja hii ya CHANGI YA RADA na KUHAIDIWA KUWA ITATUMIKIKA KUBORESHA MAHITAJI YETU KATIKA ELIMU E.S.P VITABU Waziri mkuu pinda alitetea Bungeni hoja ya changi ya rada...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Inaonekana dhahiri kuwa CCM haijuia na wala haijiatambui kuwa nini imekipoteza toka kwa Wananchi, kwa mda mwingi CCM imekuwa ikitumia vizuri sana PROPAGANDA kutokana na mtaji mkubwa wa ujinga wa...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Tundu Lisu (kushoto)VS Kamanda Shilogile (Kulia) LISSU AAHIDI KUMFUATA SHILOGILE Tundu Lissu, Mkurugenzi wa Haki na Sheria Chadema, alisema suala la kuandamana halijawahi kuwa kosa la...
6 Reactions
68 Replies
7K Views
nimetafakari hoja au propaganda kama wengine wanovyoziita ya kuzuia mikutano ya chadema mpaka sensa itakapomalizika na kukubaliana na ukweli ufuatao; 1. kwamba serikali inatambua kua wakazi ambao...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Operesheni Sangara ya CHADEMA Iliyokuwa inapaswa kuendelea leo Mkoani Iringa Imeahirishwa kwa siku 5 baada ya IGP Said Mwema kumuomba Dr.Slaa na kutoa kisingizio cha zoezi la Sensa Operesheni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina takwimu za kutosha, lakini naamini kuwa hadi sasa bado sehemu kubwa ya nchi yetu bado haijaunganishwa kwenye teknologia ya kutumia VING'AMUZI ambavyo ni muuimu kwa ajili ya kuhama kutoka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa press release iliyotolewa juzi tar 16/7/2012 na ofisi ya uhusiano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kamanda Dr. Kitila A. K. Mkumbo ni mmoja wa walioteuliwa kuwa wakuu wa vitivo...
29 Reactions
111 Replies
11K Views
Katika harakati za mbunge chipukizi kutambua matatizo ya wananchi wake,kijana mbunge wa arumeru ndg. Joshua Nassari amevaa tochi kichwani na kushuka shimoni kunapochimbwa madini ya Tanzanite na...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Nikiwa naelekea ofisini asubuhi hii Radio Clouds wakiwa wanapitia habari za kwenye magazeti ya leo wamesoma gazeti moja likisema JWTZ limemkanya Edward Lowassa kwa kauli yake aliyotoa hivi...
24 Reactions
117 Replies
12K Views
Nimejaribu kuangalia mwenendo wa serikali hii iliyoko madarakani kwa sasa kwa kusema ukweli, hali ya ule umoja na undugu ambao hapo awali ulikua mkubwa kwa asilimia kubwa umepungua kiasi cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
na Jumbe Ismaily, Singida CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimetangaza majina ya wanachama walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali kwenye jumuiya za chama hicho. Katibu wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Huwezi amini kinachoendelea hivi sasa katika viunga vya manispaa ya Iringa mjini, Askari wasio na idadi wenye silaha nzito pamoja na magari yaliyofungwa vitaambaa vyekundu kuashiria hali ya...
5 Reactions
120 Replies
16K Views
B.B.C 28 Agosti, 2012 - Saa 11:56 GMT. Ni nadra kwa kiongozi wa nchi yoyote kufariki akiwa angali madarakani. Tangu mwaka 2008, hili limefanyika mara kumi na tatu kote duniani -lakini kumi kati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…