Ccm legelege huzaa serikali legelege. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm legelege huzaa serikali legelege.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babalao 2, Sep 7, 2012.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Jamani muda wa haya maneno ya viongozi wa ccm na serikali yake ya kwamba, bila ccm imara nchi yetu itayumba, chama legelege huzaa serikali legelege.
  Hali ya mambo ilivo tete kwa sasa hapa nchini tukilinganisha na maneno hayo napata ujasiri wa kusema CCM NI GARI LILILOKOSA BREKI lisipozuiwa litazidi kuleta maafa makubwa kwa nchi yetu.
  Tuwakemee vibaraka wake wote wanaodhani bado hatujajua kuwa gari limekata breki.
  Tutafute njia ya kuikomboa nchi yetu dhidi ya watu wasio na ubunifu tena.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  TAIFA LETU TULIPENDALO SAAANA LA TANZANIA HIVI SASA LIKO NJIANI KUANGAMIA SHAURI YA KUKOSA UONGOZI SIKIVU, ADILIFU NA WENYE HEKIMA

  "Taifaa la Tanzania linaumwa tena linaugua ugonjwa wa hatari sana tangu uchaguzi wa Oktoba 2010, kufanyike juhudi za haraka kulitibu taifaa," alisikika miezi michahe akitoa hii kauli yenye hekima tele yule Mhe Mbuye wa Arusha alie likizoni Godless Lema.

  Hata hivyo, ni wangapi ndani ya nchi hii walau waliweza kumuazima sikio na kutafakari ki-undani zaidi hii kauli???????????

  Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete na maswahiba wake wanaoendelea kufilisi nchi hii kupitia Dowans, EPA na rundo la fedha za ki-shetani kwenye Benki Uswisi, wataendeleaa kuishi kwa matumaini ya ulinzi wa FFU mpaka lini?????????

  Ama kweli Tanzania taifa langu linaangamia kwa kukosa uongozi wenye hekima na uadilifu.

   
 3. k

  kitero JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawawazi jinsi ya kurudia ile misingi ya mwali bali wanawaza nijinsi gani wataikomoa CDM na kukifutia usajili
   
Loading...