Shibuda na jk wakitoa salam za rambirambi

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
[h=3][/h]


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ndugu jamaa na marafiki wa Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia jana Septemba 6, 2012 Keko, jijini Dar es salaam.

Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, akiwa kazini kama Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na baadaye Rais wa pili wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.


Picha na IKULU
 
Hata katika mazishi ya Mwandishi wa habari pale Tukuyu, Dr. Slaa na Prof Mwandosa walitoa rambirambi. CCM inakufa kwa laana inazopata kutokana na DUA za Wananchi Tunaodhulumiwa. CCM haiwezi kuiua CDM, pamoja na propaganda za Ukabila, kuichonganisha na waislam na kupandikiza mamluki. Wananchi now tunajua Ukweli, kilichobaki ni kuzidi kuomba Dua na kuwa wakweli 2015 RIP CCM
 
Back
Top Bottom