SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
825
WANDUGU LEO ASUBUI NIMEPATA SMS TOKA +358897578, ZINZOMKASHIFU DR. SLAA, ZIMEANDIKWA HIVI;

Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi, anataka damu imwagike ili mradi ashinde. tusikubali nchi yetu iwe kama burundi....

sasa ninajaribu kujua namba hii ni ya mtandao gani, kwa sasa nipo moshi , najua na wengi mmepata sms hizi. naomba mwenye kuelewa huu ni mtandao gani na uko nchi gani tujue.

isije ikawa kuna nchi zimeamua kuingilia uchaguzi wetu

pili, huwa napata sms za kuisifu ccm toka mitandao yote ya voda na tigo, naomba wanasheria wanisaidie kwani nataka kuwashtaki tigo na voda kwa kutoa namba yangu ya simu bila ridhaa yangu, pengine nitawaunganisha na TCRA kwa kuwa zoezi la kusajili namba za simu halikuwa na maana ya kuanza kutoa namba za watu ili waanze kupelekewa sms za matusi kama hayo juu.

Naomba kama kuna wanasheria makini huku wani sms nianze mapema mchakacho wa kuwashtaki hawa
 
naomaba mod nirekebishie hapo juu, ni dr.slaa siyo slamm nimeandika kwa hasira
 
WANDUGU LEO ASUBUI NIMEPATA SMS TOKA +358897578, ZINZOMKASHIFU DR. SLAA, ZIMEANDIKWA HIVI; slaa ni mropokaji na mgomvianayelumbana na vyombo vya ulinzina usalama wa nchi, anataka damu imwagike ili mradi ashinde. tusikubali nchi yetu iwe kama burundi....

sasa ninajaribu kujua namba hii ni ya mtandao gani, kwa sasa nipo moshi , najua na wengi mmepata sms hizi. naomba mwenye kuelewa huu ni mtandao gani na uko nchi gani tujue.

isije ikawa kuna nchi zimeamua kuingilia uchaguzi wetu

pili, huwa napata sms za kuisifu ccm toka mitandao yote ya voda na tigo, naomba wanasheria wanisaidie kwani nataka kuwashtaki tigo na voda kwa kutoa namba yangu ya simu bila ridhaa yangu, pengine nitawaunganisha na TCRA kwa kuwa zoezi la kusajili namba za simu halikuwa na maana ya kuanza kutoa namba za watu ili waanze kupelekewa sms za matusi kama hayo juu. naomba kama kuna wanasheria makini huku wani sms nianze mapema mchakacho wa kuwashtaki hawa

Trash!

Nadhani Finland.
 
naomaba mod nirekebishie hapo juu, ni dr.slaa siyo slamm nimeandika kwa hasira
That code is from finland. CCM sasa inatapatapa. wanajaribu kufanya kila njia kujiokoa but it's too late. Pia nasikia mtoto wa makampa yuko voda uenda hao ndo wanatoa namba za watu.
 
Ndugu zangu Ile timu ya kijana Miraji Kikwete na wa IT wake wameibuka na mbinu ya kutuma SMS kwa kila mtu anayemiliki simu ya mkononi ili kumfanya Mh Slaa asikubalike kwa wananchi, Moja ya sms hizo ambazo zipo njiani zinakuja ni nii..

Sms kutoka No. +3588976578
Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi. Anataka damu imwagike ili mradi ashinde. Tusikubali nchi yetu iwe kama Burundi, Congo au Somalia. Hana uwezo wala sifa ya kuwa Rais. Tumuepuke Slaa kama ukoma, Tusidanganyike.

Kwa muono wangu huu ni uchochezi, na tusikubali kuingizwa katika chuki zidi ya mgombea wetu
 
Inabidi hawa jamaa kujibiwa haraka iwezekanavyo! ili kuwachinjia bahari.
 
dawa ni kuiripoti hiyo number kwenye tume lakini pia kwenye international forum ili mwenyewe ajulikane... ni lazima iwe registered somewhere

alternatively, ni chadema/cuf nao kufungua like kama hizo na kusambaza ujumbe wenye mantiki hiyohiyo ili ku-neutralize the effects
 
Ndugu zangu Ile timu ya kijana Miraji Kikwete na wa IT wake wameibuka na mbinu ya kutuma SMS kwa kila mtu anayemiliki simu ya mkononi ili kumfanya Mh Slaa asikubalike kwa wananchi, Moja ya sms hizo ambazo zipo njiani zinakuja ni nii..

Sms kutoka No. +3588976578
Slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi. Anataka damu imwagike ili mradi ashinde. Tusikubali nchi yetu iwe kama Burundi, Congo au Somalia. Hana uwezo wala sifa ya kuwa Rais. Tumuepuke Slaa kama ukoma, Tusidanganyike.

Kwa muono wangu huu ni uchochezi, na tusikubali kuingizwa katika chuki zidi ya mgombea wetu

Intelligence ya Chadema fanyeni kazi.

Sisi wengine hatutetereki kwa sababu SMS yenyewe haikusema ni nani anayefaa kuwa rais.
 
Hawatafika mbali na ubaladhuli wao, hatudanganyiki....
 
Attachments

  • KITUKO 2.jpg
    KITUKO 2.jpg
    3.5 KB · Views: 177
miraji kikwete ni teja mkubwa na alipelekwa india kusoma kama sehemu ya kikwete kupata nafuu tokana na tabia za kijana wake,sasa teja limeingizwa kwenye kampeni,ndio ameshaanza kuonyesha uteja wake,lets unite our forces against them,pamoja tutashinda
 
Kipi Bora kuwa na amani na kuuliwa kwa njaa na magonjwa au kuwa kama kenya na mambo yakawa mazuri??Tumeni SMS,pendeni,msipende SIDANGANYIKI.Nimeamua kukataa umasikini kwa nguvu zote,kura yangu itanitoa.
 
dawa ni kuiripoti hiyo number kwenye tume lakini pia kwenye international forum ili mwenyewe ajulikane... Ni lazima iwe registered somewhere

alternatively, ni chadema/kafu nao kufungua like kama hizo na kusambaza ujumbe wenye mantiki hiyohiyo ili ku-neutralize the effects

hiyo ndo njia pekee, hatuwezi kupelekeshwa na teja, halafu inavyoonyesha hawa jamaa wanafananafanana tabia kwenye familia yao, uwezo wao wa kufikiri unatia shaka kwakweli.
 
Mwaka huu kazi kweli kweli, hadi ifike 31 Oktoba 2010 tutaona na kusikia mengi tu!! Hii namba iliyotuma ujumbe yaonekana si ya hapa nchini, ina maana mtumaji message anaishi huko nje au yuko hapa nchini kwenye roaming akaunt? Hivi +358 ni suffix ya nchi gani?
 
Finland
 
TO MELT ALTERNATIVE:

'Nzi na nyuki hufa kwa kulazimisha kupenya kwenye kioo angavu, ndivyo watakavyoangamia wasomi, wafanyakazi na wakulima wanaolazimisha kutimiza ndoto zao kupitia CCM. Sasa, tuko kwenye kampeni maalum dhidi ya Kikwete 2010, aliingia kwa mbinu na atatoka kwa mbinu kwani mtenda hutendwa.

Tunawa - support wanaodai haki na operesheni SANGARA, TANZANIA bila KIKWETE inawezekana!'

TUMA UJUMBE HUU KWA WALIOCHOSHWA NA KIKWETE hasa WALIMU, NMB, TRL, WAZEE WASTAAFU WA EAC,NA WANAFUNZI VYUONI.
 
Kwa sms hizi ambazo zimeenea nchi mzima sasa zinawatoa kwenye msimamo baadhi ya watu ambao dado hawajaenda shule.naomba uongozi wa chadema utolee tamko hili..ili likome
 
Kikwete hata ufurukute vipi safari hii hutoki. Tunajuwa sasa kuwa wewe ni kibaraka wa USA na CIA wako kazini kuhakikisha unabakia madarakani lakini nakuhakikishia kuwa utaanguka tuuuuuuuuuuuuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom