Picha : Shibuda vipi mbona una rudia matapishi yako mwenyewe?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha : Shibuda vipi mbona una rudia matapishi yako mwenyewe?!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Sep 7, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tafadhali weka maslahi yako na ccm wazi maana hueleweki.


  [​IMG]
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ndugu jamaa na marafiki wa Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia jana Septemba 6, 2012 Keko, jijini Dar es salaam.
  [​IMG]

  Hayati Luteni Kanali (mst) Adam Hussein Mwandu Makwaia, akiwa kazini kama Mpambe wa Rais wa kwanza wa Tanzania, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na baadaye Rais wa pili wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.


  Picha na IKULU
   
Loading...