Kigwangala atia aibu, hana maamuzi ahairisha mkutano na press chezea ubunge wewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigwangala atia aibu, hana maamuzi ahairisha mkutano na press chezea ubunge wewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Sep 11, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kigwangala aingia mitini, kumbe unaweza ukawa na ma PHD ukawa hopeless tu. Kigwangala hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kumi wachilia mbali ubunge kama hana maamuzi.

  Ameboa sana. Anatia aibu sana wadau walisubiria maamuzi yake kwa hamu lakini kumbe aliandika akiwa na mihemuko ya kushika bastola sio uungwana

  Kigwa tulia kula posho lala bungeni 2015 sio mbali
   
 2. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=6]Hamisi Kigwangalla
  [/h][h=6]Ile press conference niliyokuwa niifanye leo Jumanne nimeiahirisha mpaka nitakapotangaza tena, sababu ikiwa ni dharura niliyoipata jimboni Nzega na hivyo kurudi ghafla jana. Nitakapoenda Dar es salaam nitatangaza siku, saa na mahali itakapofanyika. samahani kwa usumbufu uliojitokeza
  [/h][​IMG]Like · · Unfollow Post · Share · about an hour ago via BlackBerry ·
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mnavyopenda kushadadia maumivu kwa wengine!
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kwani sisi tulimuomba aropoke kuwa atafanya press leo? Kiherehere chake tu hicho.
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  He will always be a '' has been''
   
 6. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Kasoma alama za nyakati...
   
 7. B

  Beethoven JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nilikuheshimu kidogo Kigwa kwa ahadi hii but umeonesha udhaifu mkubwa kama mbunge kijana au ndio jadi yenu watu wa Tabora!maana mzee Sitta aliwahi kusema ataitisha yake mpaka leo hajatoa mrejesho ilikuwaje zaidi ya kusema anakwenda jimboni kuaga wazee wa Urambo!!!Wanasiasa aina yenu ni janga la kitaifa maana mnasukumwa na tumbo na maslahi binafsi tu!
   
 8. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hamna kitu hapo, wala msijisumbue kusubiria chochote !
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kwani huko Nzega hawazi kufanya press mpaka arudi Dar?
   
 10. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ALikuwa anatingisha kibiriti ili abembelezwe. Wameshambembeleza sasa atatulia, msijidanganye kusubiri maana atakayoitisha itakuwa ni press conference ya kueleza sera za chama na si kama alivyotishia mwanzo.
   
 11. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,298
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Nilishasema msitegemee kitu kutoka kwa kigwangala, Bashe anatisha na kigwangala ameogopa
   
 12. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivi, wewe ulitegemea lolote jipya toka kwa Mnafiki huyu! Anajua licha ya kuzikosa posho na Mshahara mnono wa Kibunge pia alikuwa anajiweka kwenye hatari ya kufunguliwa mashitaka kwa Kufoji jina la mtu mwingine. Kwa sasa hawamfanyi kitu chochote kwa sababu bado mtu wao, Ngoja ajifanye kutoka ndipo atakapolijua lile domo la Wasira kama lina kazi ya kutoa ***** tu au linang'ata pia!.
   
 13. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kumbe alikuwa anabipu?
   
 14. D

  Diga Diga Senior Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wala hakuna usumbufu wowote ule uliojitokeza maana hata watoto wadogo walijua hakuna kitu hapo. Ila kama kuwa wanahabari walienda kukutana naye wakisubiri atatoa maamuzi/kauli yoyote ya maana inabidi wakapimwe akili! Sasa Kigwangala namuuliza hivi, ina maana kufanya Press Conference ni lazima iwe Dar tu? Yeye si mbunge wa Nzega? Na tena hata tafrani na sakata zima analotaka kulitolea maamuzi lilitokea Nzega? Sasa iweje atake kutangazia Dar, au huko Nzega hakuna Waandishi wa Habari? Ama kweli, SIASA maana yake ni SI HASA! Pambaf Le doctare Magwangala Makopo ya Hamisi!
   
 15. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Same stories from same living g*av_s! Napita tu!
   
 16. C

  Concrete JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kwani huko Nzega hakuna waandishi wa habari?
  Kama uko serious tuite sisi waandishi wa habari popote ulipo na tutakuja tu.

  Kama Rostam aliondoka toka Dar na kwenda Igunga tena ghafla na bado waandishi wa habari kibao walikuwepo na ujumbe ukawafikia watanzania, wewe vipi?

  Lakini Kigwangwalla wewe si ni mbunge wa Nzega inakuwaje safari ya kwenda jimboni kwako inakuwa ya dharura?

  Lakini Nzega ni kwa wapiga kura wako vipi tena unawakwepa kuwaeleza uamuzi unaoutaka kuufanya?
   
 17. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,638
  Likes Received: 2,065
  Trophy Points: 280
  Na ndio maana watu hawaishi kukimbia vijijini kwenda mijini kama hata press conference ni lazima ifanyike Dar wakati hata nzega ni sehemu ya Tanzania na isitoshe hata issue ya kushikiana bastola ilifanyika Nzega
   
 18. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  msimshambulie sana, kwani aliyetaka kufanya hayo maamuzi ni yeye na pia yeye mwenyewe ndiyo kaamua tena kutokuyafanya hayo maamuzi. Kutokufanya maamuzi pia nayo ni maamuzi. Tatizo la nzega kuna timu ya lowasa ambaye ni bashe na timu ya jk ambaye ni kigwangala. sasa hizi timu mbili zinakinzana kupitia hao vijana. kama siasa ni hiyo mie binafsi namshauri Dr Kigwangala ikifika 2015 achana na siasa ujifanyie isue zako.
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Aiseee....
   
 20. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,679
  Likes Received: 21,941
  Trophy Points: 280
  Huo mkutano angeufanya na watu wepi wa Press wakati wao wako kwenye maandamano yao ya kupinga mauaji? Nchimbi mwenyewe kataka atumie maandamano hayo kwa kutoa press release yaliyompata hata sahau maishani. Labda angenda pale Uhuru na Mzalendo ndio akayasemee hayo aliyotaka maana wao sidhani kama waliandamana.
   
Loading...