Niko katik mkutano wa kutoa maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niko katik mkutano wa kutoa maoni

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mr. Bigman, Sep 12, 2012.

 1. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Nahudhuria live sasa hivi. Najikuta nimezungukwa na sura za kimagamba tu huku kijijini sijui kama patatolewa maoni significant. Siwaoni wanaharakati hapa,wapi Jukwaa la siasa? Nafasi hii itatekwa nyara na magamba I'm sure maana wapo wengi eti
   
Loading...