Kwanini JK aliungwa mkono sana 2005 na kuchukiwa 2010?

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Wapendwa,
Naomba kueleweshwa, mwaka 2005 Kikwete alipata uungwaji mkono mkubwa sana hasa kutoka kwenye jamii ya kikristo. Kumbuka pale Kilaini ailimpotangaza kuwa chaguo la mungu Jangwani, kwa lengo la kuhimiza wakristo kumchagua Kikwete. Na kiwete alipata kura nyingine kuliko Mkapa (Mkatoliki).
Swali kwanini Jamii hii ya kikristo ilimgeuka na kumuadhibu 2010?
 
Kwanza wengi walimjua ni mfata nyayo za nyerere lakini kumbe siyo watu walikuwa na imani naye baada ya yeye kukataliwa na nyerere kugombea watu walibaki nayo moyoni kwakuwa watu walikuwa wameisha choka na utawala wa Ben!
 
Alionekana kama muwa wenye sukari tamu, Watanzania na matamanio yao wakakuta ni mchungu zaidi ya pilipili kichaa, kila jambo linalofanyika nchini tunabaki machozi yanamwagika na makamasi yakitiririka bila kukoma.
 
Wapendwa,
Naomba kueleweshwa, mwaka 2005 Kikwete alipata uungwaji mkono mkubwa sana hasa kutoka kwenye jamii ya kikristo. Kumbuka pale Kilaini ailimpotangaza kuwa chaguo la mungu Jangwani, kwa lengo la kuhimiza wakristo kumchagua Kikwete. Na kiwete alipata kura nyingine kuliko Mkapa (Mkatoliki).
Swali kwanini Jamii hii ya kikristo ilimgeuka na kumuadhibu 2010?
wengi walikuwa bado wanaamini na kuogopa kuwa mtu akila kiapo ni nadra kukikiuka, hivyo waliamini kabisa kuwa kwa nafasi ya juu kama ile mhusika hawezi kuleta masihara au kuwadanganya. Ndio maana baada ya kugundua kuwa walikosea wakafanya maamuzi tofauti mwaka 2010 lakini NEC ikawazunguka bado
 
Wapendwa,
Naomba kueleweshwa, mwaka 2005 Kikwete alipata uungwaji mkono mkubwa sana hasa kutoka kwenye jamii ya kikristo. Kumbuka pale Kilaini ailimpotangaza kuwa chaguo la mungu Jangwani, kwa lengo la kuhimiza wakristo kumchagua Kikwete. Na kiwete alipata kura nyingine kuliko Mkapa (Mkatoliki).
Swali kwanini Jamii hii ya kikristo ilimgeuka na kumuadhibu 2010?

Hapa ndio inakuja dhana ya demokrasia, nampigia kura mwenye sera na sitolazimishwa kumpigia tena pindi akivurunda. Suala la dini si kigezo kabisa katika hili.
 
Wapendwa,
Naomba kueleweshwa, mwaka 2005 Kikwete alipata uungwaji mkono mkubwa sana hasa kutoka kwenye jamii ya kikristo. Kumbuka pale Kilaini ailimpotangaza kuwa chaguo la mungu Jangwani, kwa lengo la kuhimiza wakristo kumchagua Kikwete. Na kiwete alipata kura nyingine kuliko Mkapa (Mkatoliki).
Swali kwanini Jamii hii ya kikristo ilimgeuka na kumuadhibu 2010?

Tena kampeni za udini ndo zilianza na kustawi kipindi hiki (kipindi ambacho CUF iliitwa chama cha kiislam). Nashangaa wanaosema udini umeanza kipindi hiki cha uchaguzi wa 2010.
 
Wanawake walipenda SURA, Viongozi wa dini - Kilaini, Kulola na Gamanywa walisema hivyo kulipa fadhila baada ya kupata harambee kupitia ushawishi wake. Wengine walitaka kujaribu kwa nini Nyerere alimkataa!, 2010 alikuwa amechuja kauli mbiu MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA yakageuka kuwa bora maisha kwa kila mtanzania.
 
Wapendwa,
Naomba kueleweshwa, mwaka 2005 Kikwete alipata uungwaji mkono mkubwa sana hasa kutoka kwenye jamii ya kikristo. Kumbuka pale Kilaini ailimpotangaza kuwa chaguo la mungu Jangwani, kwa lengo la kuhimiza wakristo kumchagua Kikwete. Na kiwete alipata kura nyingine kuliko Mkapa (Mkatoliki).
Swali kwanini Jamii hii ya kikristo ilimgeuka na kumuadhibu 2010?

alipata asilimia 61 ya kura zote 2010, una uhakika gani kuwa hakupigiwa kura na Wakristo? Majungu 2 hayo. Mwacheni Rais wa Ukweli achape kazi majungu hayawezi kuwapa madaraka wala umaarufu wa kisiasa.
 
Wapendwa,
Naomba kueleweshwa, mwaka 2005 Kikwete alipata uungwaji mkono mkubwa sana hasa kutoka kwenye jamii ya kikristo. Kumbuka pale Kilaini ailimpotangaza kuwa chaguo la mungu Jangwani, kwa lengo la kuhimiza wakristo kumchagua Kikwete. Na kiwete alipata kura nyingine kuliko Mkapa (Mkatoliki).
Swali kwanini Jamii hii ya kikristo ilimgeuka na kumuadhibu 2010?

Hapo kwenye nyekundu pamenikera sana. Ni kwa ushahidi upi unaokufanya useme hivyo? Au kwenye karatasi za kupigia kura watu huwa wanaandika dini zao? Ungeishia kusema watanzania walimgeuka na kumuadhibu ingetosha sana kuliko hivyo ulivyofanya.
 
Kama kawaida yangu siongei mimi,,kwa hili ukweli ni kwamba udini unahusikwa.Nasema hivyo kwa sababu tokea nyrere alivokua madarakani ccm ilikua chama cha maaskofu,nasema hivyo kwa evidence zifuatazo;
1.Mwaka 1978 nyerere aliwaahidi maaskofu kua ntalipa kipaumbele kanisa katoliki kuliko taasisi yoyote tanganyika(source google)
2.Nchi hii tz ina watu 5 wenye kutoa maamuzi mazito ya nchi(rais,mkuu wa majeshi,waziri mkuu,makamu wa rais,jaji mkuu)sasa kipindi cha mkapa mzee pengo aliwekwa ktk hiyo orodha nae eti akawa anatoa maamuzi ya nchi kisirisiri japo ni ngumu kuamini(nenda TZchurch.com)hivyo wakatoliki walikisapoti chama sana.sasa jk alivoingia akamng'oa na kumwambia "Hapa si pahala pako,nenda kanisani",hapo sasa maaskofu wakaona kikwete kawadhurumu sana,hivyo nguvu zao zote zikaamia cdm kwani waliona kutolewa kwa pengo ni pigo ktk ukatoliki tz kwani matakwa yao hayawezii kutimizwa,kikwete kumtoa jamaa ndo tatizo.
3.Kipindi cha uchaguzi 2010,mkoa wa Iringa kunawatu walifukuzwa dini tena kwa maandishi kisa walimpa jk(muislam) kura badala ya slaa(askofu)..
4.Kampeni za kuipa nguvu cdm zinapigwa hadi makanisani,mfano mzuri wa hili ni kanisa katoliki parokia ya ndanda-mtwara.

Hivyo jk kuonwa hafai kipindi hiki ni njama za kanisa kumsimsmisha askofu(slaa) na kupigiwa kampeni hadi makanisani na kumchafua jk,,udini unahusika sana tu.

Evidence zingne ka-google mwenyewe,,
Source:www.TZCHURCH.com pamoja na kitabu cha Askofu mmoja Dk.Sivalon...

Ni hayo tu,mwenye kubisha abishe ila google ndo inatema maushaidi yote hayo...thanks
 
[QUOTE...misamaha ya kodi kuondolewa kwa maaskofu na makanisa yao pia ni chanzo cha kupigwa vita,,mkatoliki anaona kadhurumiwa saaaaaana hadi sasa wameamua kumsimamisha askofu wa o slaa ili azidi kuwapendelea washenzi hawa...na hamna pepo ya mwenye kudhurumu
 
Wengi walimkubali kutokana na historia ya 1995 pale alipoibuka mshindi alafu akachezewa rafu uchaguzi wa wa mara ya pili na kutoka katika kinyang'anyiro hivyo watu wakabaki na donge kwa muda wa miaka 10 wakiamini kwamba atakuja kufanya mambo makubwa zaidi ya hayo
 
Back
Top Bottom