RPC Kamuhanda na RPC Shilogile wakalia kuti kavu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RPC Kamuhanda na RPC Shilogile wakalia kuti kavu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritts, Sep 11, 2012.

 1. R

  Ritts Senior Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Exactly kwa nguvu na shinikizo la jana la CHADEMA na maandamano ya waandishi pale jangwani yaliyopelekea Kumu_ignore waziri Nchimbi ambaye naye yupo kikaangoni ni wazi sasa vibarua vya makamanda wa polisi wa mikoa ya Iringa na Morogoro yenye kashfa ya polisi kuua 'ITAOTA NYASI MUDA WOWOTE'.Taarifa za ndani zinadai kuwa makamanda hao wameachiwa wapime wenyewe bila shinikizo ila wakiwa wagumu watang'olewa na hii ni kutokana na Agizo 'lenye moto' la chadema hapo jana.
   
 2. H

  Hebron Caleb JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "CHADEMA IS A LIFE STYLE" BY Hon. Freeman A. Mbowe
   
 3. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama kamanda mdogo tu aliyefyatua bomu na kumwua Mwangosi haja pelekwa mahakamani hao makamanda nani wakuwaajibisha. Nchi hii hakuna wakumwajibisha mwenzake!
   
 4. Patrickn

  Patrickn JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 7,463
  Likes Received: 3,823
  Trophy Points: 280
  Tena watuombe radhi kwa kuchelewa kuwawajibisha....walipaswa kusimamishwa mara moja kupisha uchunguzi, na wasiishie hapo tu...wawafundishe upya hawa askari wao wapuuzi ninini purpose ya kazi yao maana imeshajengeka vichwani mwao kwamba wao kazi yao ni kushikisha adabu kwa kupiga....warudishwe depo wafanyiwe seminar kwanza
   
 5. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Kila jambo lina mwisho wake...
   
 6. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  We live in a banana republic where law target ordinary persons but leaders and those well connected to the system lives with impunity.
   
 7. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ingekuwa ulaya,bongo usidhan kuna chochote cha kufanyka dhidi yao.Hivi ni nchi gani ulishawahi sikia mwanafunzi anafaulu mtihani wa darasa la saba na kwenda sekondari bila kujua kusoma na kuandka? Nadhani ni tz pekee! Kwe2 mambo yako kinyume na unavyodhan
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tusubiri toone kitakachotokea
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Katikaa hili la kuchezea uhai wa raia kama vile mtu huchezea mmbu chumbani kwake vile muda wowote atakaopenda,

  hivyo hata kung'ooka kwa Ma-RPC hao hakutoshi kitu hapa; bila kung'ooka ma-shina ya ufedhuli huu wote kitakachofuatia ni MAANDAMANO ambayo hayajapata kuonekana katika historia ya nchi hii.

  Vifo vya aibu vya WaTanzania 22 ndani ya miezi 7 tu, hivi sasa CHADEMA tunasema hatutovumilia damu zaidi na kwamba huu ni wakati wa uongozi dhalimu wa serikali ya CCM KUWAJIBIKA kutokana na dmu yote hii waliomwaga kutokana na sababu zao kisiasa nchini.

  Na kama kuna mtu anadhani kuna utani katika hili safari hii basi itakua ni makosa makubwa sna kwa upande wao.

  Ndani ya CHADEMA tunasema tena kwa u-dhati kabisa kwamba siasa za ushindani sawa lakini kamwe hatutaruhusu Mtanzania auawe shauri ya kile anachokiamini kisiasa nchini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kamuhanda analindwa na ndugu yake yuko Ikulu nadhani na Shilogile sijui labda analindwa na CCM kwa kuwa yeye ni Mlokole au ni Usalama wa Taifa lakini ni polisi sasa hapa kazi ipo.Kumpeleka mahakamani muuaji means atakwa shahidi kwamba walipewa maelekezo maalumu na hawako tayari tena maana kuna ya Ulimboka hata sasa wanaumia nayo kichwa na hili la Mwangosi litaleta ukweli zaidi maana wamesha anza kuzozana na RCO anaonekana anakili zaidi yeye alikuwa anakataa kuua watu .
   
 11. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,276
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  we live in a republic where impunity is the order of the day.
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  ...Miafrika ndivyo tulivyo.
   
 13. A

  Ame JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Hawajibishwi na wadhaifu bali na wale wanaojua nini wanataka katika nchi hii....Hakuna muda wa kubembelezana tena kama hawakuwahi kujua uongozi nini wasubiri waone whats a difference between power and enticing words! Kama huna power na authority hata ujiite majina yote makubwa duniani you are just no body! Its power and authority that makes people to obey either wana taka ama hawataki...
   
 14. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,309
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Hizi ni siasa tu hakuna lolote ni uwongo mtupu.yaleyale ya magamba mafisadi wanatakiwa watafakari wajivue magamba wenyewe wajihukumu kwenda jela wenyewe.lakini hii ya leo ni kali hata jeshi la sungusungu hakuna kitu km hiki.jeshini hakuna cha kusema ukatafakari sijui ukajipime ukajitie pingu mwenyewe.jeshini ni amri moja tu.wewe mjinga sawa afandee... hakuna kubembelezana.kilicho amdikwa hapa ni danganya toto alale.
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jana niliona thread ikisema amefikishwa mahakamani lakini si kuifungua ina maana ilikuwa ya uongo..
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Kikwete na CCM wanabidi wawajibike pia kwa kushindwa kuwadhibiti polisi na kukalia kimya dhuluma na mateso yanayofanywa na polisi kwa raia
   
 17. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #17
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbukeni WALITEULIWA....Sasa kama ilikua kwa utendaji kazi wanaweza kuachishwa ila kama ni rafiki bado nina mashaka. May be kuhamishwa kituo cha kazi.
   
 18. A

  Ame JF-Expert Member

  #18
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Wengine tuliwatahadharisha siku nyingi sana lakini wakadhani ni kama kawaida....When Kings speaks its a decree kila aina ya uumbaji unafuata order if you are to perceive what I mean...People start clapping your holly hands for the King of glory reigns...Elija is not better than me kwani wakati huo mvua haikunyesha na moto ulilamba maji na mawe sasa safari hii itakuwa zaidi ya yale ya Elija kwa Tanzania....I am very serious and no stone shall remain un-burn to the ashes.....

  Since the time of John the baptist the Kingdom of God suffereth violence and the violent one exploits.....I made up my mind long time ago when other were waiting for the saviour to come I decided to stand on my position and to do what is right.....With my soft stones and my theory of 'solitons' to make sure all the fisadis are wiped out!
   
 19. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #19
  Sep 11, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama mawazo yako ndiyo yangekuwa kwneye vichwa vya watawala ingekuwa safi sana.Hakukuwa na Sababu ya wao kupewa muda wa kutafakari na kupima wenyewe.
   
 20. A

  Ame JF-Expert Member

  #20
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni luga tu ya watawala ili wasionekane wabaya kwa hiyo nguvu ya dola wanayoitegemea lakini kibano watakachokutana nacho watakuta hawana jinsi bali kuwatosa huku wakiwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa...Siyo ridhaa ya watawala hao waondoke bali nguvu ya UMMA; I mean peoples....malizia!
   
Loading...