Warue
JF-Expert Member
- Aug 9, 2012
- 423
- 809
Jamani naomba wale wote waliokwepo wakati wa uchaguzi wa kenya 2007 waniambie tofauti kati ya anayoyafanya John Tendwa wetu na Samwel Kivuitu aliyekuwa mwekiti wa tuma ya uchaguzi kenya mwaka 2007. Kivuitu alionyesha wazi jinsi vyama vinavyotawala vinavyoweza ku manipulate matokeo ya uchaguchaguzi kwa kufuata maagizo ya waliowateua. Tendwa kwa sasa anatishia kuifuta chadema kisa polisi wanaua wakati wa mikutano yao. Hivi ni haki ya Tendwa kujitokeza kuitetea CCM wanaposhindwa kujibu mapigo?
Nawasilisha.
Nawasilisha.