CUF Ngangari
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 273
- 51
matembezi hayo yataanzia Buguruni malapa na kuishia viwanja vya JANGWANI. Yataongozwa Mkt Prof I. H. Lipumba na katibu mkuu wa chama ambae pia ni Makamu wa kwanza wa SMZ Maalim seif sharif Hamad, wanainchi wote jitokezeni kwa wingi kuchangia chama chenu.