Sahihi yako ni muhimu sana hapa; tuijurishe dunia mauaji tanzania...picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sahihi yako ni muhimu sana hapa; tuijurishe dunia mauaji tanzania...picha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by baajun, Sep 14, 2012.

 1. b

  baajun JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SAHIHI YAKO NI MUHIMU SANA HAPA;

  MAKAMANDA HII NI MUHIMU. Tafadhari fuata LINK hapo chini. Andika jina lako email na anuani yako. Kwa ambaye yupo Tanzania zip code weka 0000 na CLICK outside USA utapata option ya kuingiza nchi. Lengo ni kuijurisha dunia kuhusiana na UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU NA MAUAJI ya kikatili yanayo endelea Tanzani.

  Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful demonstrators and journalists | Change.org

  Hii ni nafasi yako kuijurisha dunia. Chini baada ya kusign panapo sema " why this important to you" weka ukiukwaji wa haki WOWOTE unao endelea TANZANIA, Iwe UFISADI, MAUAJI, UONEVU CHOCHOTE KILE AMBACHO SIO HAKI.

  Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful demonstrators and journalists | Change.org

  NB: KAMA SIGN ZITATIMIA KABLA YA WEEK MBILI. HILI SWALA LITAJADILIWA KTK KIKAO CHA UN KIJACHO IN 2 WEEKS NEW YORK.

  View attachment 64952
  View attachment 64953 View attachment 64953 View attachment 64954
   
Loading...