Mh.Mwakyembe haka "ka-muhogo" ka ATCL mbele yako unakaoona??

MAMC

Senior Member
Jan 3, 2012
139
66
Ndugu wanajamvi, nimefanya utafiti kwa muda kujua maendeleo,au strategy za Bosi wetu mpya pale ATCL wala sijaona jipya! japo ni mapema naamini hili linataka majibu, na Mh. Mwakyembe atuambie kama mkurgenzi hasemi!

Hili jengo la ATCL - makao makuu - mtaa wa Ohio, DSM (jengo moja toka makao makuu ya wizara ya Mawasiliano) ni "ka-muhogo ka nani" kwa sababu,

1. Jengo limechoka sana!japo lina wapangaji nje na ndani, sidhani kama kweli wanalipa kodi zinazo stahili hapa mjini kwa location ile.Mana wasingekosa pesa ya kulifanyia matengenezo.

Kwa kuwa ni karibu wizara yako, naomba ingia hata chooni kajisaidie haja ndogo - floor yeyote utaona inatokea muguuni kwako!

Naomba pamulikwe, hili jengo ni mali sana hasa eneo lililopo! Mashirika mengi ya UMMA wakiwemo kina TCRA wanapangisha majengo yao - kwa nafasi wasiyo itumia lakini si kama hawa ATCL - wamepangisha "wasanii" wa town.

Kama hawana pesa, ya kulitengeneza kuna Options nyingi - NHC wako karibu wanaweza kuwashauri au hata kuwa rengesha - wakaingia joint venture.

Naomba kuwakilisha.
 
Ujumbe umefika na Dr. Mwakyembe ( japo si kwa jina halisi) ni member mzuri wa JF,
 
Sasa unategemea ofsi ifanyiwe ukarabati wakati haizalishi kwanza waliomo ndani wanafanya nini humo,kama vp walifanyie ukarabati then walipangishe
 
Back
Top Bottom