Live on ITV: Heche anamwaga cheche ndani ya 'Malumbano ya Hoja' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live on ITV: Heche anamwaga cheche ndani ya 'Malumbano ya Hoja'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Sep 13, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  HOJA: JE ni kweli vijana wamekuwa wakitumika kama madaraja katika siasa hapa nchini?

  UPDATE:

  ANASEMA ANAWAHUKURU SANA VIJANA WENZAKE WALIOSHIKA NAFASI MBALIMBALI NDANI YA CHAMA KUWA HAWAJAWAANGUSHA NA ANA WASHAURI WASIWE KAMA WENZAO WA CCM AMBAO WAO WANATUMIKA KUWAFIKISHA WENZAO KAMA NAPE,JANUARI MAKAMBA KUSHIKA MADARAKA MAKUBWA NDANI YA NCHI HII.

  ANAENDELEA KUELEZA KUWA BAADA YA WENZAO WA CCM KUWAONA CHADEMA WAMEPATA MAFANIKIO SASA NA WAO WAMEANZA KUWASUKUMA VIJANA HUKU WAKIANGALIA NI NANI NA KATOKA FAMILIA GANI.
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ungetaja at least hoja zake kuhusu mada inayojadiliwa. Kuhusu swali kuhusu vijana kutumika - ni kweli vijana walio wengi hapa Tanzania wanatumika kuwaingiza wazee katika nafasi za uongozi. Mfano mzuri ni kile kinachoendelea huko Dodoma katika mkutano wa vijana wa CCM. Mapesa yanamwagwa ovyo ili kusaidia kupata vijana watakaosaidia kupanga safu ya 2015.
   
 3. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  We umemwona heche tu wakati wachangiaji wapo wengi?kwanza heche hajaongea cha maana
   
 4. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mmemuona mwitamaranya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. M

  Magesi JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwita maranya ni heche
   
 6. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kunamwanaharakati anasema tuache kumumunya maneno na kusema mfumohuu mbovu mewekwa na ccm kwa makusudi kwa kiliondoa somo la siasa shule za msingi na kuwa kwa sasa ukitaka kusioma siasa ni lazima uende chuo kikuu na kuhoji je?ni watamzania wangapi wenyeuweza wa kufika huko?
   
 7. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kamanda kawananga wenzao wa cuf na kuwaambia viongozi wao waache tabia ya kukaa mjini wakila bata huku wakiwanyooshea vidole chadema na badalayake waende vijijini kuwaelimisha vijana.
   
 8. K

  Kongamano Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleni chadema kama huyo ndio kiongozi wa vijana, anatoka nje ya maada, anakurupuka kutafuta kushangiriwa tu na watu kwa kuinanga ccm, yeye anaswasema cuf, je yeye anapoisema ccm je. hili ni likilaza haswaa
   
 9. K

  Kongamano Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  linajiita mwita maranya, mara igwa au hardcole
   
 10. K

  Kongamano Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eti vijana wanatumika ccm, yeye anatumika na mbowe ***** mkubwa huyu
   
 11. S

  STIDE JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naona hii mada ya leo inamuhusu Zomba, Tume ya katiba, Ritz, Nimekoma(sijakoma) &co.

  Bora waelezwe wajitambue waache kutumika!!
   
 12. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ivi brother wewe unaitakia mema nchi hiii?? we kote umeona Heche hajaongea cha maana?? kweli kwa mwendo huu nadhani hatuitakii mema nchi yetu bali vyama vyetu na kundi letu either chama,dini ama kabila......bwana fikiria vizuri ukombozi wa nchi, ni sisi vijana kushughulika achana na ubaguzi wowote bro...think twice..
   
 13. zenmoster

  zenmoster JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  We unaejiita kongamano?? je ni kongamano lenye watu wenye akili ama mbumbu tu??acha kuponda changia mada kijana
   
 14. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  sikushangai maana wewe ni mmoja wa wanaotumika vibaya na wanaokutuma upingane na ukweli
   
 15. h

  hans79 JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Huyo ndo kama ile kitu fulani kabla haijatumika inahifadhiwa sana baada hapo haina kitu, hebu awe CV yake kabla ya kumweka sawa.
   
 16. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ritz na kosi lake wakikuwemo pia?
   
 17. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,648
  Likes Received: 5,242
  Trophy Points: 280
  Kongamano la WAWATA.
   
 18. Foum Jnr

  Foum Jnr JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Tatizo la vijana kutokuwa na kipaumbele katika uongozi wanchi na vyama vya siasa ni hii culture inayodumaza ari ya vijana ya kugombea nafasi kuu za uongozi. Tumebaki kuendeleza utaratibu wa wazee kuendelea kushika hatama kuu za nchi na vijana kuwapigia debe huku tukijuwa utendaji wao wa kazi hauna tena ule mvuto wa msukumo wa maendeleo. Na hao wazee wanapoachia madaraka yao basi utakuta nafasi zao tayri zimeachwa kwa vizazi vyao na ile campaign team ya vijana imara kazi yao kubwa ni kubadili mgombea huku loyalty ikibakia kwa mzee aliepush uongozi kwa kijana wake.

  Kama ilivyo katika bunge una nafasi kuu za wanawake, vyama vya siasa ni vyema vikaweka utaratibu wa at least uongozi wake wa juu kuwa na mgawanyiko wa 50:50 kati ya vijana na wazee, 50:50 ya wagombea wake kuwa ya degree holders na wasionazo nk. Hii itashindikiza uingizwaji wa vijana katika safu ya uongozi na kuuhakikisha taaluma ni moja kati ya nyenzo muhimu ya uongozi wa kileo.

  Masuala ya vizazi vya viongozi kuwa na urahisi wa kupanda ngazi za juu katika management ni suala la dunia nzima, majuzi tu kule uingereza yule deputy prime minister alijisahau kwa kusnub wale vijana wanaotoka katika privelege families kuwa na urahisi wa kupatiwa work experience na placements wakiwa mashuleni na wamalizapo vyioni huku yeye mwenyyewe na prime minister wake wakiwa miongoni mwa hao waliokuwa favoured kwa kupewa nafasi mwanzoni mwa carrier zao kutokana na sukumo wa wazee wao. kama vile wazee wanapowacha urithi wa mali kwa vizazi vyao na suala hili kamwe halitakwisha na si suala linaloikabili Tanzania pekee. la msingi ni kuhakikisha hawa under privelege walio na uwezo na qualification za uongozi kuhakikisha wanapewa nafasi kwa kutumia reforms za katiba za vyama vya siasa. Kuweka blank statement ya kila mmoja ana uwezo wa kugombania yeyote katika uongozi ni vyema ila kwa dunia ya leo ya uhadaifu ni bora kuwahakikisha section muhimu katika jamii part ya uongozi wenye dira ya maendeleo.
   
 19. m

  mossad Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaonyesha ni jinsi gani huna hoja za msingi kwa kushindwa kuficha ujinga wako. Wewe ni mmoja wa wale waliosemwa kuwa wanatumika ndani ya CCM.......................wewe ni mfanoo halisi wa Condom, unatumiwa weeeeee na mwisho wa siku unajazwa manihii halafu unatupwa.
   
 20. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kwa nini watu wengi hawaipendi ccm?..jk usijibu maana jibu lako ni 'sijui'
   
Loading...