Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matola, Sep 12, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  September 12, 2012

  BREAKING NEWssssssssMTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI AFIKISHWAMAHAKAMANI LEO IRINGA


  [​IMG]

  Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani


  Askari anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa chini ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid kupata picha kwa ugumu.

  [FONT=&amp]Akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa Pacificus Cleophase Simon (23

  HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE

  [/FONT]
  [FONT=&amp]

  [/FONT]
   
 2. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Shahidi wa kwanza ni RPC wa Iringa!
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Walioko Iringa tunaomba picha kwa sababu picha za wauwaji wote tunazo, hatukubaliani na mazingaombwe haya, halafu naomba tu kuuliza sasa ile kamati ya harusi ya Nchimbi kazi yake ni nini sasa? changa la macho hili.
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ni wa kukatakata na kuwapa mamb wamle tu
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Ni mahakama gani? walisema mahakama ya kijeshi, is this true?
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Daaaaa basi tena hatutolizungumzia tena swala la mwangosi maana lishafika mahakamani.
   
 7. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Vipi kuhusu wale nane wengine aliokuwa nao?
   
 8. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Bila RPC na wale makamanda wengine waliokuwepo pale wakati Mwangosi anauawa kuvuliwa u-polisi pia na kufikishwa mahakamani na kushitakiwa kama washitakiwa namba 2 kwa kuchochea mauaji kwangu nasema HUU NI USANIII TU..

  Si askari wote walikuwa wanampiga,unawezaje kunithibitishia kwamba wale wengine hawakutaka kumuua? lengo lao lilikuwa moja na walimchochea mwenzao kumaliza kazi kwani aliona wanachelewa. Kwani kazi ya Polisi mtu akivunja sheria ni kumpiga?
   
 9. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,070
  Trophy Points: 280
  kelele zilizopigwa na hasa hapa jf kijitahidi kuweka picha za matukio zimesaidia sana kuizuia serikali isilete repoti ya uongo kwa watanzania kama ilivyozoeleka.
  Kwa hiyo chamsingi sasa ni kuwa angalau katika hatua 100 za kwenda tumepunguza mbili basi iwe kama ndio tuaanza kuwasha moto.
  Tuongeze msukumo na hasa kwa wale wanaoelewa masuala ya kisheria waweke wazi ufafanuzi ili na hao wengine weletwe mbele ya sheria ambapo itasaidia huko mbeleni hawa jamaa zetu wa polisi kupunguza au hata kuacha ukatili na manyanyaso yao.

   
 10. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa nini apelekwe kwa ulinzi mkali? Si wao walimwambia lipua? Wale wote walioko kwenye ule mduara wanahusika akiwemo Rpc.
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Shahidi wa kwanza ingependeza awe RPC wa Iringa!

  Ingependeza sana!
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Kwa harakaharaka huyu Polisi kijana wa miaka 23 halafu awe FFU huyu Elimu yake ya juu ni lazima itakuwa ni form Four ya sasa. maana Form Four ya zamani tuliohitimu kina Matola ni Equivalent to Degree.
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,943
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  huyu ndo muuaji kwani aliamuru na si hako katoto ka Cleophace
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  No please...
  Mshitakiwa wa kwanza alitakiwa kuwa RPC Kamuhanda, akifuatiwa na RCO na huyo muuaji pamoja na wale wengine sita kama wanavyoonekana kwenye picha mbalimbali zilizopigwa wakati wakimtesa Mwangosi.

  Kutomshitaki Kamuhanda katika tukio hili la mauaji ya Mwangosi ni sawa na kuiminya haki ya marehemu na kuwatukana watanzania kwa ujumla wao.
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Are u seriously? yaani mshitakiwa namba moja wewe unapendekeza awe shahidi!!?? i don't believe it.
   
 16. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,070
  Trophy Points: 280
  hapana mkuu, kama picha za tukio zisingepatikana wangesema kuwa cdm ndio wameua na viongozi wote wa cdm bila shaka wangepanda kizimbani kasoro wale ambao hawkuwa pale ikiwa ni pamoja na kufuta chama.
  Sasa kama ni polisi basi polisi wote waliokuwa kwenye tukio wanahusika ili angalau hata yule aliyeumia akijaribu kumkinga marehemu angekuja kusamehewa mahakamani kwa kitendo hicho alichojaribu uungwana bila mafanikio. Maana sheria za majeshi zinafuata amri na kawaida amri hutoka juu kwenda chini. RPC alikuwepo na hukuna shaka ndiye alitoa amri.
  Acha sheria iwe sheri na tuachane na hizi siasa za double standards!!

   
 17. M

  Mlyafinono Senior Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afisa wa polisi Mwenye namba G2573 Bwana Pacificus Cleophace Simon anayetuhumiwa kumlipua kwa bomu marehemu Daudi Mwangosi amefikishwa mahakani leo na kusomewa mashitaka ya mauaji(mudder case).

  Askari huyo mwenye umri wa miaka 23 alifika mahakamani na gari aina ya Toyota Landcruiser GX T320ARC huku maafisa usalama wakimzonga kijana huyo kuwazuia waandishi wa habari kupigapicha.

  Afisa huyo amerudishwa rumande kutoka na upelelezi wa kesi hiyo kutokamilika.

  Kesi itatajwa tena tarehe 26 mwezi huu.
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Tears in my eyes! I feel sorry for the young boy!
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Sikubaliani kabisa na kesi hii ni batili, Wanaharakati wote wanapaswa kuipinga hii kesi maana ni kuwafanya Watanzania ni wapumbavu kuliko maelezo.

  [​IMG]
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Just curious, katika hii kesi polisi wanapeleleza nini ambacho hakijakamilika?
   
Loading...