Kile kipindi cha dakika 45 za ITV leo zamu ya Mzee Malecela. Nasikia ataongelea mgogoro wa Tanzania na Malawi najiuliza kwanini ITV hawaaliki viongozi waliopo nje ya serikali au niseme moja kwa moja wa upinzani? Kama sikosei ni Maalim Seif pekee aliyewahi kualikwa katika kipindi hiki!!!